Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa...
3 Reactions
3 Replies
146 Views
Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakisema kuna wateja ni wasumbufu sana, mpaka wengine wanafikia hatua ya kutotaka kuwahudumia. Kwa mtazamo wangu, hakuna mteja msumbufu; mara nyingi ukiona...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Anonymous
Kero yangu ni kuhusu Mamlaka ya Maji Mwanza (MWAUWASA)! Niliibiwa mita ya maji nikaripoti kituoni na kwao pia, nikalipia kila kitu lakini ni mwezi na nusu sasa sijaletewa hiyo mita au huwa...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Nimependa sana kula nyama ya nyati, nyumbu au mnyama yyte wa porini kama Kuna mtu anajua wanapouza kwa hapa Dodoma naomba anielekeze.
5 Reactions
37 Replies
456 Views
Binadamu aking’atwa na nyuki hupata faida nyingi ikiwamo kusaidia kuondoa sumu mwilini. Sumu ya nyuki Ina uwezo wa kupambana na seli za saratani pia hupunguza maumivu katika viungo. Inayo...
14 Reactions
73 Replies
28K Views
Kuna kitu najiuliza mpaka sasa sijapata jibu. Mbona ulaya na Marekani wanakobadili vyama vya kuongoza serikali kwenye chaguzi ndo wanauchumi imara na ndo tunakwenda kuomba? Afrika hatujang'amua...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Airbus A380 ni ndege kubwa zaidi ya abiria kuwahi kutengenezwa duniani. Iliundwa na na ilifanya safari yake ya kwanza mwaka 2005, huku ikiingia rasmi kwenye huduma za kibiashara mwaka 2007...
7 Reactions
6 Replies
381 Views
Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo...
22 Reactions
54 Replies
1K Views
Eti jamani me nina swali.ninachokijua kumchukiza mtu,kumuumiza,kumkandamiza,kumnyanyasa ndo ilipaswa iwe dhambi ila eti kumpa mtu Penzi imekuaje ikawa termed kama dhambi?yaani kweli ufurahishe...
2 Reactions
16 Replies
616 Views
Kwanini Hawa, alipodanganywa na kula tunda la mti wa katikati. hakugunduwa kuwa yuko uchi? mpaka alipokula na Adam...? Je... nini kingetokea kama Adam asingekula¡
5 Reactions
91 Replies
672 Views
Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine. Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Vijana ni kama hawaelewi hata walio katika vyama tawala ni basi tuu ila kuna vitu hawakubaliani navyo!
2 Reactions
3 Replies
52 Views
Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
8 Reactions
27 Replies
365 Views
Wakuu, naomba ushauri kuhusu account nzuri ya kuweka saving 💰 Kwa sasa nina account ya NMB ambayo ndiyo natumia kwa mshahara na matumizi ya kawaida. Nataka kufungua account nyingine maalum kwa...
2 Reactions
7 Replies
275 Views
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU, AIBU, UTAPELI!! Ona...
30 Reactions
567 Replies
118K Views
Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni...
4 Reactions
12 Replies
148 Views
Taharuki kubwa imeghubika jiji la Arusha baada ya mwanamke aliyetambulika kwa jina la Jamila, pamoja na wenzake 11, kuanguka ghafla katika mazingira ya kutatanisha na kuzua gumzo kubwa mtaani...
2 Reactions
35 Replies
377 Views
Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki...
2 Reactions
11 Replies
787 Views
Back
Top Bottom