Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki...
2 Reactions
11 Replies
787 Views
Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi. Wanaweza kukuonyesha: -Shanga. Fimbo. Mto, mlima, au mahali pengine. Vitambaa vya kiroho. Wanaweza kufichua mambo haya...
4 Reactions
7 Replies
106 Views
Tunasiki watu wengi wakiwa na chuki MOYONI,furaha MOYONI,hasira MOYONI,upendo MOYONI,MOYO wa visasi hii imekaaje?
2 Reactions
8 Replies
83 Views
Mimi kama mhanga, nimefarijika na miongozo mipya ya kupima matatizo ya Tezi Dume na kuacha kudhalilisha wagonjwa kwa kuwaingiza kidole katika D2. ## Miongozo Mipya ya Tezi Dume Yafungua Milango...
8 Reactions
26 Replies
398 Views
Mdo 6:3-4 SUV [3] Basi ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, walioshuhudiwa kuwa wema, wenye kujawa na Roho, na hekima, ili tuwaweke juu ya jambo hili; [4] na sisi tutadumu katika kuomba na...
3 Reactions
4 Replies
75 Views
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa...
7 Reactions
31 Replies
360 Views
Mwezi uliopita tarehe 29 nilikuwa na safari ya kwenda Tanga, ukizingatia nilikua napasikia sijawahi kufika nikasema ngoja nikaone hizo raha za Tanga, Safari yangu ilianzia stand ya Msamvu majira...
21 Reactions
70 Replies
1K Views
Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa...
6 Reactions
27 Replies
337 Views
Mtandao Vodacom una shida huku unasoma emergency shida ni Mimi au?
3 Reactions
25 Replies
213 Views
Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi...
3 Reactions
25 Replies
294 Views
Mapogo ni mojawapo ya hadithi maarufu na za kusisimua zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa simba. Walitawala kwa nguvu, ujanja na ushirikiano wa kipekee, lakini mwisho wao ulionyesha kuwa hata...
7 Reactions
18 Replies
258 Views
Sijajua kama kuna madai kati ya Mwaipopo na CHADEMA kwasababu kila kukicha analaumu akidai CHADEMA ni Chama kiovu Amekuwa akilaumu kucha kutwa hadi koo kumkauka, imefikia hatua ya kuwaita...
0 Reactions
11 Replies
122 Views
Kaliaua ni mji wa zamani sana. Huyu mzee anajifanya hapajui?
1 Reactions
4 Replies
114 Views
Anonymous
Wakazi wa kunda vijijini tunalazimika kuchota maji ziwani ambapo wanyama wananywea humo, watu wanafulia, kuogea na kuoshea vyombo ziwani. Bado maji hayo hayo tunalazimika kutumia kwa kunywa na...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy.. We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku...
5 Reactions
46 Replies
587 Views
Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya...
1 Reactions
3 Replies
80 Views
My Take Inawezekana Hawa mabinti waasaka maisha au wanakula ujanja kwanza,wakishakuwa mashangazi ndio wanazaa. ====== Why do you think more women are choosing to have children later in life...
5 Reactions
9 Replies
133 Views
Naam kuna nyakati maishani zinabaki kuwa kumbukumbu nzuri sana. Tanzania tumejaaliwa kuwa na mchanganyiko wa makabila mengi na tukaishi pasi kujali tofauti zetu kama dini,rang, kabila, khali n,k...
2 Reactions
8 Replies
172 Views
Back
Top Bottom