Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa. Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana ...
18 Reactions
62 Replies
575 Views
Mungu siku zote hatabakia kuwa Mungu na nafsi yake ni yakwaza hana mbadala Yusufu akiwa kwa potifa alikutana na mtihani kati ya kuchagua kumpendezesha mke aa potifa au kumpendezesha Mungu, na...
0 Reactions
5 Replies
76 Views
Bujibuji Simba Nyamaume Usiku ulikuwa mzito kama blanketi la giza. Mwezi ulijificha nyuma ya mawingu, huku upepo ukipuliza taratibu katika msitu wa Miombo uliokuwa ukihofiwa na kila mtu. Wazee wa...
1 Reactions
2 Replies
81 Views
Mchakato wa kumtangaza kuwa mtakatifu Mtumishi wa Mungu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania aliyefariki mwaka 1999, umezidi kusonga mbele na sasa upo katika hatua ya kuwahoji watu...
2 Reactions
25 Replies
207 Views
Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee. Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru...
6 Reactions
14 Replies
647 Views
Kuibuka kwa kundi la wanaharakati na wadai mabadiliko wanaompigia debe Makamu wa Rais Nchimbi kwa kauli moja au mbili alizozisema walizozipenda kunaonyesha jinsi gani Tanzania ina safari ndefu ya...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Wakuu kwema? Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online...
7 Reactions
55 Replies
537 Views
Nimeshangaa sana kuna shule za mjini mpaka miaka hii wanafunzi bado wanapeleka kuni za kupikia na wanafanyishwa kazi za kufagia mavumbi asubuhi shuleni. Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na...
2 Reactions
6 Replies
77 Views
KUNA CHA KUJIFUNZA HAPA https://youtu.be/P6-WiDCm3QU?si=a0TlslZqFwtu5787 https://youtu.be/leKDEB8NPrA?si=x8u8dpSBmDbUP1Zk
2 Reactions
1 Replies
102 Views
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Buhosa, Erick Shigongo, ameandika: Taarifa Maalum. Ndugu wananchi, Watanzania wenzangu, Napenda nichukue nafasi hii kuwataarifu...
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Anonymous
Naomba utusaidie kufikisha kero zetu kumekuwa na mbwa wengi wanazagaa bila mpangilio mtaani kwetu, ni Wilaya ya Ubungo, Kimara Temboni, Mtaa wa Mji Mpya. Juzi Jumamosi wamenijeruhi, nina week...
2 Reactions
7 Replies
175 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi...
4 Reactions
38 Replies
917 Views
Kwako Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa na wahusika wengine. Kwanza, napenda kuwapa pole Kwa kazi ngumu na pongezi Kwa kazi nzuri ambayo wizara ya uchukuzi inafanya hususani ujenzi wa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
2030 kutakuwa ni vita ya kukata na shoka katika nafasi ya urais itakayopelekea wababe kupigana na kuumizana sana na kuchoka mno na kila mmoja kutotamanika wa kutazamika na mwishoni wa vita hiyo...
3 Reactions
21 Replies
286 Views
Dkt. Mashingo Lerise kutoka Marie Stopes Tanzania (MSI) ametoa wito kwa jamii, hususan vijana, kuwa makini na taarifa za afya ya uzazi wanazokutana nazo kwenye mitandao ya kijamii. Amesisitiza...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena. Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya...
6 Reactions
86 Replies
5K Views
Kwa wale watumiaji wa usafiri wa daladala wenzangu mtakuwa pamoja nami, hususani wale ambao harakati nyingi na mizunguko ya hapa na pale katika kutafuta tonge la siku zinategemea matumizi ya...
13 Reactions
95 Replies
28K Views
Wageni karibuni, ndugu zanguni poleni Kwa uchovu wa safari. Najua Kuna watu wametoka MIKOANI na kuunga kuja zenji asee your welcome my fellow tanzanians. Kesho takua nimetupia jezzy ya Brazil...
2 Reactions
40 Replies
244 Views
Back
Top Bottom