Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inasemekana Majambazi yakiwa na bunduki yamevamia maduka ya fedha maarufu kama M pesa na kupora mamilioni ya fedha. Tukio hili limetokea Katoro hapo jana siku ya tar 10 majira ya saa mbili usiku...
14 Reactions
25 Replies
819 Views
Wakuu hivi wale wadudu wanaowaka usiku mnaweza kujua kwa nini Wanawaka wanawaKA kupulika kama mnara Nijuzeni hawa wadudu huku ni wengi sana.....! Je huwa inasababishwa na nini? NIJUZENI..!
13 Reactions
73 Replies
782 Views
Anonymous
KILO MOJA YA NYAMA INAWEZA KUWA KILO MOJA KWENYE MIZANI, LAKINI SIYO KWENYE UZITO HALISI? Kuna jambo nimeanza kulifikiria sana kuhusu biashara ya nyama jijini Dar es Salaam. Sijafanya utafiti...
3 Reactions
6 Replies
146 Views
Wanabodi, Kila asubuhi, kabla ya jua kuchomoza na kabla ya wengi kukurupuka kutoka vitandani mwao, kuna mikono inayowasha jiko, kuandaa chai, na kusafisha nyumba. Hii ni mikono ya mabinti na...
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Habarini! Wakuu natumaini humu wote ni wazima wa afya, jamani mwenzenu napitia nyakati ngumu sana kiasi nahisi hapa ndio mwisho wa maisha yangu. Iko hivi nikiwa na miaka kumi na tatu nilifanyiwa...
15 Reactions
182 Replies
8K Views
Huwa najiuliza maswali mengi, kwa ufahamu wangu mdogo najua salamu ni kujuliana hali baina ya watu Ila napata mkanganyiko kwenye salamu kwa kutumia neno shikamoo maana naona halina maana ya kujua...
4 Reactions
22 Replies
164 Views
Wenye uzoefu semeni neno?
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Nimejaribu kutumia lugha nyepesi bado nimeona haileti maana kamili. Mtu anayetapeliwa online huyo hana akili timamu Mtu ambaye naweza kumuondoa hapa ni yule tu ambaye hajafika form 4. Huyu...
2 Reactions
9 Replies
150 Views
🔥 USB FAST CHARGER – 12 PORTS 🔥 ⚡ Chaji simu nyingi kwa wakati mmoja! 🔌 6× USB Fast Charging 🔋 6× Type-C PD 🚀 Data Transfer kwa kasi ya ajabu! ⚡ Fast Charging kwa simu na vifaa mbalimbali 🏠 Inafaa...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45...
4 Reactions
12 Replies
184 Views
Nataka kuona Yunge anamvalisha Charlene pete nani alipiga magoti? Au wote walikuwa kama kambale?
3 Reactions
4 Replies
175 Views
Kumekuwa na unyanyasaji katika ukamataji wa pikipiki mkoani Njombe, Maafisa wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamekosa utu na wamekuwa wakiomba hela kwa wanaowakamata ili waweze...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Wakuu hivi kweli ni haki? Katika kila taarifa ninayo kutana nayo au kuisikia kuhusu mapacha walio ungana kutenganishwa ni kweli madaktari huwa wanafanikiwa katika jukumu hilo la kuwatenganisha...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Watengeneza maudhui kutoka Uingereza, Em na Sam, wamekamilisha safari ya aina yake kutoka London hadi Nairobi, Kenya wakitumia gari kwa siku 222 na kusafiri umbali wa takribani kilomita 23,000...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
MADEREVA WA PIKIPIKI NA BAJAJI – MBEYA Barabara ya Mbeya–Tunduma 12 Agosti 2026 Kwa: Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani S.L.P 260 Mbeya YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA UENDESHAJI HATARISHI KWENYE...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Unawezaje kuridhiana na gaidi katili asiye na huruma aliyeamuru maelfu ya watu kuuawa? Hilo halipo. Kwakifupi HAKUNA KURIDHIANA NA MAGAIDI. Nilazimamagaidi yote yapate haki yao ili nchi iwe...
0 Reactions
3 Replies
63 Views
Wakuu salamu, Naandika hii mada nikiwa na hasira sana na huu uhuni unaofanywa na Airtel kwenye hizi router zao. Yaani huku ni kuibiana mchana kweupe na ukiwahoji hawana majibu ya kueleweka...
16 Reactions
45 Replies
2K Views
Sintofahamu imeibuka katika Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokon One jijini Arusha, siku moja baada ya mazishi ya Gervas Jackson, baada ya ndugu wa marehemu kuanza kuhoji kuhusu mali na fedha...
7 Reactions
81 Replies
1K Views
Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa. Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana ...
18 Reactions
62 Replies
575 Views
Mungu siku zote hatabakia kuwa Mungu na nafsi yake ni yakwaza hana mbadala Yusufu akiwa kwa potifa alikutana na mtihani kati ya kuchagua kumpendezesha mke aa potifa au kumpendezesha Mungu, na...
0 Reactions
5 Replies
76 Views
Back
Top Bottom