KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,218
- 5,446
2030 kutakuwa ni vita ya kukata na shoka katika nafasi ya urais itakayopelekea wababe kupigana na kuumizana sana na kuchoka mno na kila mmoja kutotamanika wa kutazamika na mwishoni wa vita hiyo nikasikia sauti ikisema awe huyu na alikuwa ni mwanamke na vita ikaisha hapo na Chama kikaingia uchaguzini wakiwa wamoja na mwanamke huyo akashinda kwa kishindo mno".