Nuru ya Rohoni.

Nuru ya Rohoni.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
77,783
Reaction score
164,839
NURU YA ROHONI.

Nuru ya rohoni ni Bwana Yesu.
Nakuomba sana niangazishe;
Ukanitazame kwa huruma tu,
/: Ukanitulize
Mimi maskini.:/

Futa dhambi zangu,
Kwa damu yako.
Hasira ya Mungu iniondoke.
Machubuko yako, hata mateso,
/: Niyawaze vema
Rohoni mwangu.:/

Nakutumaini peke yako tu,
Niwe mtumwa wako
Pote nilipo, utanikubali,
Sina mashaka!
/: Nitakushukuru
Pasipo mwisho.:/
 
NURU YA ROHONI.

Nuru ya rohoni ni Bwana Yesu.
Nakuomba sana niangazishe;
Ukanitazame kwa huruma tu,
/: Ukanitulize
Mimi maskini.:/

Futa dhambi zangu,
Kwa damu yako.
Hasira ya Mungu iniondoke.
Machubuko yako, hata mateso,
/: Niyawaze vema
Rohoni mwangu.:/

Nakutumaini peke yako tu,
Niwe mtumwa wako
Pote nilipo, utanikubali,
Sina mashaka!
/: Nitakushukuru
Pasipo mwisho.:/
Sio jibu, na Waislamu nuru yao ni ipi? Sisi wapagani nuru yetu ni ipi? Huenda jibu ni utamaduni wako na si vingenevyo.
 
Back
Top Bottom