AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,056
- 5,228
Au nitagunduaje simu yangu ni pro,pro max,ultra?
Utajua kwa kutazama specifications za model husika. Hizo specs hutajwa na OEM na ODM wa hiyo bidhaa.Au nitagunduaje simu yangu ni pro,pro max,ultra?
We jamaa jau sana 😂😂😂🙌Macho ya kamera yakizidi matatu na yakawa makubwa kama vifuniko vya soda, hiyo ni Pro Max.
Umeanza lini hii tabia 🤣🤣Macho ya kamera yakizidi matatu na yakawa makubwa kama vifuniko vya soda, hiyo ni Pro Max.
Fact mtupu hiyo 😂😂Umeanza lini hii tabia 🤣🤣
Majina ya kibiashara tu hayo yasikutishe.Au nitagunduaje simu yangu ni pro,pro max,ultra?
Labda fakiti 😂😂Fact mtupu hiyo 😂😂
Watu wa Epo wanaelewa sana 😂😂.Labda fakiti 😂😂
Sawaa😅Watu wa Epo wanaelewa sana 😂😂.
WellUtajua kwa kutazama specifications za model husika. Hizo specs hutajwa na OEM na ODM wa hiyo bidhaa.
Kukariri kuna siku kutakufelisha maana mfano Xiaomi wana Redmi 15, Redmi 15 5G, Redmi 15 Pro, Redmi Note 15, Redmi Note 15 Pro, Redmi Note 15 Pro Plus 5G.
Sasa wewe ukikariri camera island utachanganyikiwa. Models nyingine zinatofautiana charging speed, processors, camera sensors, reverse charging na vitu vingine ambavyo havionekani kwa macho.
Ila ukikariri kwa iPhones wana plain, Pro na Pro Max ambazo huzidiana umbo. Samsung wana plain, Plus na Ultra za kuzidiana umbo. Pixel wana "a" model, plain na Pro kwa kuzidiana umbo.
Zote hizo kampuni 3 ukiwa unapanda unaongeza ukubwa wa umbo, battery na camera island.