Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa upande wangu ninaona ilikuwa sawa ili kuweza kulinda nguvu kazi ya taifa hasa vijana Baada ya Obama kuingia akatoa hilo zuio la watu wenye HIV kuingia marekani ambapo imesababisha wamarekani...
1 Reactions
4 Replies
116 Views
CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha...
1 Reactions
7 Replies
98 Views
Maafisa wa Jeshi la Polisi mapema leo wamefika katika msiba wa Sefu Mussa, mkazi wa Matejoo jijini Arusha, aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu na askari watatu wa Hifadhi ya...
1 Reactions
1 Replies
101 Views
Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18...
3 Reactions
9 Replies
172 Views
Ndugu vijana wenzangu ni wakati sasa wa sisi kutafuta fursa kwa wanawake walio jipata. Kama mwanasaikolojia mwenyewe kathibitisha kwa nini tukatae.. Kwa sisi tulio Dar, ni muda mwafaka sasa...
1 Reactions
15 Replies
134 Views
Tunaomba kuwasilisha kero ya umeme hafifu inayotukabili wakazi wa Mtaa wa Kidugalo, Kata ya Chanika. Kila siku kuanzia majira ya saa 12 jioni, umeme hupungua nguvu kiasi kwamba vifaa mbalimbali...
4 Reactions
6 Replies
387 Views
Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Muhubiri wa neno la Mungu, mkazi wa wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, aitwae Evod Medson, amedai kuwa amejikuta kwenye hali ya sintofahamu wakati akitoa mahubiri, baada mwanamke mmoja kumtaka...
18 Reactions
73 Replies
1K Views
Maafisa wa Jeshi la Polisi wamefika mapema hii leo katika msiba wa kijana Sefu Mussa, mkazi wa Matejoo jijini Arusha, ambaye alifariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu na askari watatu wa...
1 Reactions
3 Replies
111 Views
Kama kamera inaonyesha upande mmoja tu wa tukio, tunajuaje upande ambao haukuonyeshwa? Je, habari inaweza kuwa ya kweli lakini bado ikampotosha mtazamaji kwa kuacha baadhi ya ukweli? Nani...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
========================== UPDATE: 27/06/2024 https://www.instagram.com/reel/C8tOKmmqjWh/?igsh=MWJhZWFjNTNhajNtcg ======================= TRA Tanzania Tanzania tuna mfumo wa kodi ambao naweza...
29 Reactions
164 Replies
14K Views
Kwanza Niombe radhi kwa kuahidi mara nyingi kuweka hii post lakini bila kufanya hivyo! Tunazungumzia chunusi mnyama, shetani, jini au kizuka. Sio chunusi zile za usoni zinazotokana kwa sehemu...
27 Reactions
144 Replies
47K Views
Kuna sentensi moja ambayo ukiielewa vizuri inaweza kubadilisha kabisa namna unavyoitazama dunia: "HATA GIZA NI MWANGA ULIOPUNGUA." Watu wengi wakiisikia hukataa mara moja. Wanasema, "Haiwezekani...
0 Reactions
5 Replies
106 Views
Wachezaji sio marobiti, ni binadamu kama sisi..Ibrahim Doumbia Hakujileta yeye mwenyewe hapo makolo fc bali ni viongozi wenu ndio waliomfuata na kumsajili..Na kwa kua mchezaji ajira yake ni...
2 Reactions
5 Replies
110 Views
Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote...
0 Reactions
8 Replies
91 Views
Athari ya Halo (Halo Effect): Mojawapo ya upendeleo mkubwa wa kiakili unaoathiri namna tunavyowachagua watu ni kile wanasaikolojia wanakiita Halo Effect. Dhana hii ilielezwa kwa mara ya kwanza na...
1 Reactions
6 Replies
123 Views
TRC Yaimarisha Usalama wa SGR kwa Teknolojia ya Laser Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza uwezo wa usalama wa reli ya kisasa (SGR) baada ya kununua magari mawili maalum yenye mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous
Kero yangu ni kuhusu gharama za usafiri wa majini kwenda Zanzibar ni kubwa sana nauli imepanda kufikia Tsh. 40,000 kwa mtu mzima kutoka Shilingi 35,000, na mtoto Tsh 30,000. Tunaomba Serikali...
3 Reactions
43 Replies
541 Views
Miaka ile wakati nasoma Biblia ikiwa imeandika kwamba siku hizo hutouza wala kununua kitu mpaka uwe na chapa ya mnyama nikawa nashangaa sana. How? Tunaenda sokoni, dukani, tunanunua mahitaji...
4 Reactions
15 Replies
142 Views
Back
Top Bottom