Moshi wa bhangi ni mwepesi kuliko wa sigara

Moshi wa bhangi ni mwepesi kuliko wa sigara

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,136
Reaction score
871,420
smoke-1216032_960_720.jpg

Kuna kitu cha ziada kwenye mmea jamii ya bhangi, kitu hicho chenye mahusiano na mambo ya kiroho ama jicho la tatu..... Moshi wake ni mwepesi sana na unapovuta jani tofauti na sigara nyingine, moshi wake hupanda kichwani na kwenda kuzibua hisia ya sita (hisia ya maono).

Sigara moshi wake huelekea kifuani na kurudi nje! Hapa ni pamoja na jamii nyingine za sigara,..... Siri ni moja tu uvutaji bhangi ni tofauti kabisa na uvutaji sigara... Huwezi kuvuta sigara kwa kufanya hivi.... Shhhhhh sh sh sh[emoji15] [emoji75] kitendo hiki hakiwezi kupeleka moshi chini bali juu.

Moshi wa bhangi huenda moja kwa moja kichwani na kutoka nje, ukipitia kwenye mishipa na misuli ya macho., ndio maana wavutaji wengi wa mmea huwa ma macho mekundu yaliyovimba kidogo kwa chini.

Bhangi pamoja na kupigwa vita (feki) duniani kote bado ni mmea unaotumika zaidi hata ndani ya serikali nyingi kwenye majeshi huku kwa baadhi ya sehemu ukichukuliwa kama mmea maono (sacred weed).

Bhangi ina vituko vyake! Mtu mkorofi kabisa anaweza kuvuta bhangi akawa mpole kabisa na mtu mpole kabisa anaweza kuvuta bhangi na kuwa mkorofi kabisa!
Sababu ni moja tu bhangi inafumua ufahamu wa ndani, bhangi inampa mtu ujasiri na kujiamini, bhangi ni tiba ya magonjwa mengi LAKINI PIA bhangi ina madhara mengi

NB: SERIKALI YA TANZANIA imeiweka bhangi kwenye kundi la madawa ya kulevya.... Use it at your own risk lakini baada ya kupima faida na hasara zake! USIFUATE MKUMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok.......

Nilisikia Moshi wake unakaa kichwani miaka sita? Ni kweli?

Kwanini unaita vita dhidi ya bhangi Ni vita feki?
Wanasema unakaa miaka saba! Swali je unakaa sehemu gani kichwani?
Ni vita feki kwakuwa machoni pa watu inapigwa vita kweli lakini huko majeshini ni kitu cha kawaida kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli bangi inaamsha hisia lakini haishauriwi uivute ukiwa pekeyako kwa kipindi kirefu!
Ukiendekeza kunyonga na kuvuta pekeyako inakujengea inferiority complex, unakuwa mtu wa kutokujiamini na mara kadha unajitenga/bagua na walimwengu, hii inatokana na kuendekeza manuizo kipindi unavuta!
 
Yet, it's proven kuwa bangi hiyo hiyo inaharibu watu akili, inapunguza nguvu za kiume, inapunguza kasi ya mapafu kufanya kazi ipasavyo, inafanya mtumiaji kuwa msahalifu, mvutaji kuwa moody na lazy. It's scientifically proven kuwa bangi si nzuri kwa matumizi ya mwanadamu.
 
Back
Top Bottom