Mboga mboga nyingi Zinapigwa sumu

Mboga mboga nyingi Zinapigwa sumu

Tuwe makini sana tunaponunua mboga siku hizi Maana,wanaweka dawa nyingi za kunenepesha na kukuza haraka haraka.
Pia sumu ya kuumia wadudu inapigwa mara Kwa mara .
Tuweni makini jamani
Huwa ninanunua mboga za majani kwa mkulima wa karibu, ninajua utaratibu wake. Waweza kununua mboga ambazo watu walikojolea usiku hasa walevi.
 
Let me decode kwa slow learner wenzangu

Tuwe makini sana tunaponunua mbOOga siku hizi Maana,wanaweka dawa nyingi za KUNENEPESHA na kukuza haraka haraka.
Pia sumu ya kuulia wa-DuDU (inapigwa) mara Kwa mara .

Tuweni makini jamani
 
Tanzania mbogamboga, nafaka mahindi, mtama, mchele n.k vyote ni hatari sumu inatumika wakati wa kupanda, kukuza, kuvuna na kuhifadhi

18 September 2026
TANZANIA KUENDELEA KUTHAMINI NA KUTAMBUA MCHANGO WA WANASAYANSI WANAOGUNDUA VIATILIFU HATARI KTK KIILIMO NA PIA HAKI MILIKI PATENT

View: https://m.youtube.com/watch?v=dQTZg-4BqRc

Utafiti : Bonde la Usangu : Majaruba ya mpunga yenye mbolea Calcium Amonium Nitrate, Triple 3 Super Phosphate, Urea n.k na viatilifu bonde la Usangu na athari kwa mazingira pia viumbe

Usangu agro-ecosystem-Tanzania. Marco Mng'ONg'O. Linus K. Munishi. Patrick A. Ndakidemi. ...

Keywords: Arsenic; Health risk; Irrigation scheme; Paddy farming; Pollution risk; Usangu basin.

Ndakidemi, Patrick. Subject Category: Plant genetics and breeding, Plant physiology … agricultural soil to plants in Usangu agroecosystem-Tanzania
 
Let me decode kwa slow learner wenzangu

Tuwe makini sana tunaponunua mbOOga siku hizi Maana,wanaweka dawa nyingi za KUNENEPESHA na kukuza haraka haraka.
Pia sumu ya kuulia wa-DuDU (inapigwa) mara Kwa mara .

Tuweni makini jamani
Watu wanaangalia hela tu wanatupa wakati mgumu sana sisi vegetarian
 
Umefanya vizuri kutupa tahadhari

Kwasasa sio mboga za majani pekee, hadi mpunga upo wa kisasa, mahindi ya kisasa, ng'ombe wa kisasa, kuku wa kisasa

Ninapoandika kisasa, namaanisha wanapigwa sindano za dawa ambazo kwenye miili yetu zinageuka sumu

Kwa yeyote mwenye nafasi, panda bustani ya mbogamboga nyumbani kwako yawe mbadala wa maua.

Badala ya kupanda miti nyumbani kwako, panda miti ya matunda ambayo utaweza kuyahudumia na kupunguza kiwango Cha sumu

Ushauri zaidi, Kila mmoja awe anakunywa japo glass 4 za maziwa kwa wiki

Tupunguze unywaji wa pombe na badala yake tunywe maziwa

Hili ni muhimu ili kuweza kupata Wazee miaka 50 ijayo, vinginevyo kutakuwa na Wazee wachache kufikia mwaka 2060 maana wengi watakuwa wamepunguzwa na hayo ya juu
 
Maziwa yenyewe sasa😀
 
Upo sahihi kabisa.

Tena kwa Dar ndio kabisa hali imekuwa mbaya watu wanaangalia biashara hawajali kitu kuhusu afya ya wanunuzi au watumiaji.

Mfano ukitembelea maeneo ambayo wanalima hizo mbogamboga utakuta ni maeneo yale ya bondeni kabisa.

Ambapo huko ndio uchochoro wa maji taka yote ya mtaani kuanzia vyoo, hadi taka za viwandani.

Na bado kama hiyo haitoshi wanapuliza tena na dawa zao kustaawisha na kuzuia wadudu.

Kitu pekee ambacho nakiona walau kipo safely ni samaki wabichi na hawa wawe fresh kutoka feli.
 
Back
Top Bottom