Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inasikitisha sana.
3 Reactions
5 Replies
87 Views
Kitambulish cha Taifa nilichotumia kuombea hati ya kusafiria (Passport) miaka 5 iliyopita leo kinaonesha mimi sio raia wa Tanzania bali mgeni mkaazi (Individual foreigner). Shida ipo wap
0 Reactions
1 Replies
36 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza tukio la mauaji ya kijana Steven Karakira Kaaya, (24), Mkazi wa Mtaa wa Boma Mbuzi, Wilaya ya Moshi, Steven alifariki Dunia kutokana na majeraha...
5 Reactions
51 Replies
914 Views
Hasira hasara ,naamu ndivyo unavyoweza kusema . Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Nelson Charles Mkenda Mwanafunzi wa kidato cha tatu (17), shule ya Sekondari Kisarika, kwa...
4 Reactions
35 Replies
699 Views
Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Hahahaahaha
0 Reactions
0 Replies
38 Views
Hii ni historia ya maisha aliyopitia David tangu 2007 alipopata changamoto na namna alivyopambana mpaka kufika alipofika leo hii. Stori hii David anasema ina nia ya kuwapa nguvu wote ambao leo hii...
187 Reactions
184 Replies
40K Views
Leo ngoja niwape madini ya kwa nini familia nyingi zinabaki masikini, tunajikwamua lakini bado tunarudi pale pale, unakuta Baba kapambana kapata vimali, lakini badae miaka mbeleni unakuta bado...
4 Reactions
8 Replies
102 Views
Dini ni nini? Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo...
8 Reactions
40 Replies
253 Views
Hii ni baada ya hisa za SpaceX kupanda zaidi ya 5% na Tesla pia kuongezeka.
3 Reactions
18 Replies
231 Views
Je, nini husababisha watu kufikia hii Hali .. Hana familia,mpenzi wala ndoa? Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?
17 Reactions
265 Replies
3K Views
Taasisi za Sekta ya Maji zimetakiwa kuwa na mifumo ya dharura itakayo saidia kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino kama ilivyo tabiriwa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA)...
0 Reactions
2 Replies
25 Views
Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ni moja ya Hifadhi tano zilizopo mikoa ya kanda ya Kaskazini ambazo ni Tarangire ,Manyara,Arusha na Kilimanjaro . Hifadhi hii ya mkomazi inaunganisha mikoa ya...
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Mzazi Daniel Kapangala amemzawadia mwanae sungura wawili ambao ni jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Tembela iliyopo Kata ya Itewe...
8 Reactions
11 Replies
301 Views
Wasalaam, Wakuu, kuna jambo ambalo naamini tunapaswa kulijadili kwa uzito, hasa sisi wadau wa sekta ya utalii. Tanzania tumebarikiwa kuwa na vivutio vya kiwango cha dunia kuanzia Serengeti...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
THIS POEM IS DEDICATED TO ALL TEACHERS IN THE WORLD!!! I May Not Have Wealth But I Have Knowledge to Share I May Not Have Power But I Have Minds to Inspire I May Not Have Fame But I Have Hearts...
3 Reactions
2 Replies
41 Views
Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki...
1 Reactions
0 Replies
18 Views
Stop listening to anyone advice, it’s our first time to live in this world .Do what’s right for you.
1 Reactions
2 Replies
36 Views
Nakumbuka kuona hii picha ya jamaa akiwa amekaa style hii na raisi wa zimbabwe then nikajisemea moyoni huyu mwamba ni zaidi ya "businessman"
22 Reactions
65 Replies
1K Views
Back
Top Bottom