Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania bado tuna amini makocha wa kizungu ndo wenye material kichwani ya kuwafundisha watu wetu katika michezo mbali mbali hasa mpira wa miguu.Mpaka Leo wazawa hawaaminiki kwenye ufundishaji wao...
2 Reactions
6 Replies
47 Views
A giant looks in the mirror and sees nothing ~Donda West In my time off, JF nilijikuta naingia katika kujitathmini kwa kina ili nijue where why y'all hating on me the goat 🐐? Ila nikaona it's...
16 Reactions
271 Replies
2K Views
Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi...
2 Reactions
12 Replies
82 Views
“Kingdom True Anointing Standards: A RENAISSANCE” Ni makala ndefu, kwa sababu hata watu wamedanganywa kwa kirefu! Uongo mkubwa unahitaji maelezo Makubwa! Mwenye moyo na nguvu na asome! AMANI NA...
1 Reactions
9 Replies
297 Views
Picha inajieleza Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
1 Reactions
3 Replies
89 Views
Mwalimu Christopher Mwakasege ni mtumishi wa Mungu wa muda mrefu alijitolea kufundisha neno la Mungu kwa mapana zaidi. Amejizoelea umaarufu kwa kufundisha neno la Mungu bila kuingiza siasa...
29 Reactions
102 Replies
1K Views
Frustration, Frustration, Frustration. Asilimia 60% ya walimu wamekata Tamaa, tena Frastruation zao sio kwasababu ya mshahara, hapana Frustration kutoka kwa Mkuu wa shule, mwenyekiti wa mtaa...
2 Reactions
17 Replies
197 Views
Kwa mujibu wa Kanuni ya 18 (1) na (2) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, Tangazo la Serikali Na. 137 la Tarehe 22 Mei, 2026 linapa Mamlaka Baraza la Sanaa la Taifa kurasimisha Wasanii na Wadau...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Venomous snake found a sleeping porcupine. It wrapped itself around it. It felt warm, safe, perfect. Then, the porcupine woke up. Its sharp quills rose instantly. The snake felt pain. But instead...
1 Reactions
2 Replies
22 Views
Mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Sekondari Bibi Titi Mohamed, Jafar Abdul, ameweka rekodi ya kipekee baada ya kuiwezesha Wilaya ya Rufiji kushika nafasi ya tatu kitaifa kwenye somo la...
5 Reactions
15 Replies
227 Views
Wengi wao wapo kwenye mahusiano tata au muonekano tata au jinsia tata (mwanaume haitaji kutambulisha jinsia yake ataonekana tu alivyo)
1 Reactions
4 Replies
54 Views
Nimeikuta x twitter, hichi kisa cha hawa wasanii wawili kuachana, na kutupiana vijembe. Kwa kusoma kwa kina , nimegundua huyo Madebe ndio Pumbavu takataka kabisa. Unammtoa mwanamke mzuri...
21 Reactions
85 Replies
1K Views
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa Tanzania baada ya Dar. Ziwa Victoria (Nyanza) ni sehemu ya jiji hili, na ukiwa maeneo mengi ya jiji hili, unaweza kuliona ziwa kwa macho. Cha ajabu, licha ya ziwa...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Picha inajieleza Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
0 Reactions
2 Replies
50 Views
Waalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa...
2 Reactions
54 Replies
774 Views
WAFANYAUSAFI wawili wa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa simu ya thamani ya Sh 450,000. - Washitakiwa...
7 Reactions
28 Replies
403 Views
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem. Tukio hili limetokea dar, kiwalani. vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson...
6 Reactions
61 Replies
589 Views
There shall not be a genuine reconciliation if personal gain exceeds national interest. The leading part must prove beyond reasonable doubt the good will of having reconciliation and under all...
1 Reactions
1 Replies
16 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22...
1 Reactions
12 Replies
301 Views
SIRI YA MACHO YAKO AMBAYO HAKUNA ALIYEWAHI KUKUAMBIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Haya nayo nikasema nisikufiche. Kwa sababu ninakupenda Sana. Nataka uwe kiumbe huru. Hii ikiwa ni zawadi...
9 Reactions
18 Replies
972 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…