Wanabodi habari ya kutafuta mkate wa kilasiku!
Leo nimeona siyo vyema nikae kimya huku tukishuhudia bei ya mafuta ikipanda na kufikia bei ya kihistoria, mujibu wa takwimu mpya za EWURA kuanzia...
Fanya utafiti uje niambia. Hali si nzuri jamani
Msione watu wanajazana makanisani yaani sio wanataka uponyaji wa magonjwa bali wanataka amani na upendo kwenye nyumba zao na wengine wakijua waume...
Ukitembea kwenye mitaa ya makazi Dar es Salaam, Mwanza, au Dodoma, utaona picha inayochanganya kidogo. Kwenye nguzo kama za umeme, kuna nyaya za mtandao zimetandazwa hadi mitaani ambako familia...
Habari Wakuu!
Natafuta Wanaouza pikipiki za Umeme Kwa Mkopo.
Hasa wauzaji waliopo Dar.
Naomba mwenye mawasiliano nao au Page zao za Instagram/Tiktok/FB etc aweke kwenye comments.
Ahsanteni.
Nimeuliza tu maana imenipa stimu sana na ghafla mate kujaa mdomoni na ile harufu fulani hivi Amazing 😋🥵🥵.. na I assume kama konyagi vile. Hivi nikipiga japo kakifuniko inaweza nletea shida kiafya?
Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke.
Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku...
Watu Tik tok wanachekesha sana. Wanadai lile tukio la kigaidi la Fly Dubei kati ya marubani wawili raia wa Omani na India ilikuwa vita kali kati ya miungu wawili maarufu Krishna na Allah. Hatimae...
Kitambulish cha Taifa nilichotumia kuombea hati ya kusafiria (Passport) miaka 5 iliyopita leo kinaonesha mimi sio raia wa Tanzania bali mgeni mkaazi (Individual foreigner). Shida ipo wap
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza tukio la mauaji ya kijana Steven Karakira Kaaya, (24), Mkazi wa Mtaa wa Boma Mbuzi, Wilaya ya Moshi,
Steven alifariki Dunia kutokana na majeraha...
Hasira hasara ,naamu ndivyo unavyoweza kusema .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Nelson Charles Mkenda Mwanafunzi wa kidato cha tatu (17), shule ya Sekondari Kisarika, kwa...
Hii ni historia ya maisha aliyopitia David tangu 2007 alipopata changamoto na namna alivyopambana mpaka kufika alipofika leo hii. Stori hii David anasema ina nia ya kuwapa nguvu wote ambao leo hii...
Leo ngoja niwape madini ya kwa nini familia nyingi zinabaki masikini, tunajikwamua lakini bado tunarudi pale pale, unakuta Baba kapambana kapata vimali, lakini badae miaka mbeleni unakuta bado...
Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo...
Taasisi za Sekta ya Maji zimetakiwa kuwa na mifumo ya dharura itakayo saidia kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino kama ilivyo tabiriwa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.