Hivi nikinywa methylated spirit itanidhuru?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,530
Reaction score
21,690
Nimeuliza tu maana imenipa stimu sana na ghafla mate kujaa mdomoni na ile harufu fulani hivi Amazing 😋🥵🥵.. na I assume kama konyagi vile. Hivi nikipiga japo kakifuniko inaweza nletea shida kiafya?
FB_IMG_1790518001659.jpg
 
Nimeuliza tu maana imenipa stimu sana na ghafla mate kujaa mdomoni na ile harufu fulani hivi Amazing 😋🥵🥵.. na I assume kama konyagi vile. Hivi nikipiga japo kakifuniko inaweza nletea shida kiafya?View attachment 3685194
Sawa spirit ina ethanol ambayo ni safe for human consumption, ila sasa majamaa yanajua kuna watu washenzi kama wewe ambao mtakunywa spirit.

Hivyo basi wakaiwekea methanol(hii methanol ni poisonous) ili kuifanya iwe unsafe for human consumption.
 
Sawa spirit ina ethanol ambayo ni safe for human consumption, ila sasa majamaa yanajua kuna watu washenzi kama wewe ambao mtakunywa spirit.

Hivyo basi wakaiwekea methanol(hii methano nonpoisonous) ili kuifanya iwe unsafe for human consumption.
Hivi chemical formula yake ni gani ?
 
Nimeuliza tu maana imenipa stimu sana na ghafla mate kujaa mdomoni na ile harufu fulani hivi Amazing 😋🥵🥵.. na I assume kama konyagi vile. Hivi nikipiga japo kakifuniko inaweza nletea shida kiafya?View attachment 3685194
Kuna lab technician jicho moja halioni na alitest mitambo kwa ujazo wa kakifuniko tuu.
 
Kwa msaada wa AKILI YA BANDIA...

Kunywa methylated spirit ni hatari sana na kunaweza kusababisha kifo au upofu wa kudumu ndani ya masaa machache. Methylated spirit sio pombe ya kawaida ya kunywa; ni kemikali ya viwandani iliyotengenezwa kwa ajili ya kusafishia vidonda, vifaa, au kama nishati.
 
🙏🙏🙏🙏🤝🤝
 
Joseverest Jozee is back!

JF person of the year 2017.
 
CH3OH itakupofusha.

CH3CH2OH haina shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom