mdanganyika__
Member
- Dec 12, 2018
- 13
- 34
Kitambulish cha Taifa nilichotumia kuombea hati ya kusafiria (Passport) miaka 5 iliyopita leo kinaonesha mimi sio raia wa Tanzania bali mgeni mkaazi (Individual foreigner). Shida ipo wap
Ohooooooo, soon utarudishwa SomaliaKitambulish cha Taifa nilichotumia kuombea hati ya kusafiria (Passport) miaka 5 iliyopita leo kinaonesha mimi sio raia wa Tanzania bali mgeni mkaazi (Individual foreigner). Shida ipo wap