Je Gwajima amelambishwa asali?
Je Gwajima amepata vitisho ?
Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk?
Hatujamzoea hivi...
Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna...
Umaskini ni mbaya sana unafanya mtu asiwe na msimamo hataka ukweli upo wazi (UKIFUATILIA VITA VYA UEFA NA RAIS WA FIFA THEN TAZAMA MSIMAMO WA CAF NA MASHILIKISHO MASKINI)
Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao.
Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga...
4,646 MW.
This is an achievement worth acknowledging under President Samia Suluhu Hassan’s leadership. As a country, we should think beyond the megawatt figure.
The strategic opportunity is...
Mwanamke ni pambo la nyumba yako anatakiwa kukuzalia na kukulelea watoto wako.
Mwanamke hatakiwi kwenda hata sokoni mtimizie mahitaji yake kibinadamu sio mambo makubwa yatamaa.
Nadhani unajua...
Katika mabadiliko ya katiba tusisahau kuhakikisha kila halmashauri inajetegemea yenyewe hasa katika mapato yake inayokusanya yenyewe. Hii itasaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni...
Na hii SUPER EL NINO ya safari hii kwa mujibu wa Wataalam haijawahi kutokea tena baada ya miaka 150 iliyopita.
Wataalam wameenda mbali zaidi kusema kuwa hadi sasa kwa 80% inakuja na itakuwa na...
Halimashauri ya wilaya ya Buchosa haijalipa fedha ya kujikimu kwa watumishi wa umma toka mwezi wa tatu hadi sasa na tushafuatilia tukaambiwa mtapewa sasa hatuelewi tutapewa lini ingali ni miezi...
Habari za wakati huu wadau.
Huku Nikiamini katika uelewa wetu juu ya umuhimu na nafasi ya Chuo kikuu cha DSM katika nchi yetu. Nimeona ni vema niwasilishe haya labda itasaidia kuboresha chuo...
Lengo la kuchumbiana si kutumia muda na mtu wako kuchekacheka naye na mambo 'mengine', bali ni kuelewa kama wanataka wafanye mambo yaleyale maishani kama wewe. Malengo ya kufanana na hata muda...
Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu.
Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia...
Halmashauri ya Mji Mafinga inapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu taarifa iliyotolewa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dkt. Victor Msafiri, katika mkutano wa hadhara wa Mbunge wa...
Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose...
JWTZ mko wapi? TISS mko wapi? Kwanini mmeendelea kumsikiliza huyu mama na mnaona kabisa analipeleka taifa mahali pabaya? Mtaendelea kuua ndugu zenu mpaka lini?
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa...
Ni vizuri tukakumbuka kwamba aliyeasisi unyama huu (udikteta uliopitiliza) wa kiwango cha akina Benito Mussolin, Joseph Stalin, Augusto Pinochet ni Magufuli akilindwa na Katiba ya 1977...
••Kwenye uwazi na ukweli ndipo tunapokosea,
••Mambo ya siri,mikataba ya siri ndilo tatizo kubwa.
••Wakati taifa letu likielekea kwenye uchumi mkubwa the way ndipo tunapojiongezea maadau wengi...
Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada.
Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja...
Umasikini wa kipato umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha migogoro katika familia na hatimaye kusabaisha msongo wa mawazo na changamoto za afya za akili.
Hayo yameelezwa Agosti 6, 2026 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.