IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Mwanamke ni pambo la nyumba yako anatakiwa kukuzalia na kukulelea watoto wako.
Mwanamke hatakiwi kwenda hata sokoni mtimizie mahitaji yake kibinadamu sio mambo makubwa yatamaa.
Nadhani unajua mama zetu wengi wetu walikuwa wamama wa nyumba ni tu na maisha yalikuwa mazuri tu.
Dunia ya Leo mwanaume kazi ana nguvu sana kuliko ndoa ,km unabisha mulize kazi na ndoa anachagua nini.
Wanawake sasa hivi heshima hakuna kabisa kazi kwao ni muhimu kuliko ndoa.
Ukweli utabakia palepale hata kama wengi humu JF mtapinga ni ngumu kuwa na mamlaka kwa mwanamke mwenye kipato.
Na wanawake wanaoongoza kuchepuka ni wale wafanyakazi na wanaojihusisha na biashara.
Ukiruhusu mwanamke afanye kazi ,mwanaume kazi itatawala nyumba,na atakupangia kila kitu hadi udadi ya watoto wa kuzaa.
Sent using Jamii Forums mobile app