Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo. Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza...
2 Reactions
6 Replies
500 Views
2 Wakorintho 5:17 Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. Matunda ya kumpokea Yesu kristo na Yesu kristo akawa anaishi ndani yako...
11 Reactions
8 Replies
182 Views
Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Chimbuko la ubatizo wa maji mengi Yesu alisema hivi: "Amini, Amin, nakuambia mtu asipozaliwa kwa maji na kwa roho hawezi kuingia ufalme wa Mungu" (Yohana 3:5). Kuhusu ubatizo, ni muhimu kufahamu...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Kumuamini Yesu pekee inatosha au haitoshi? Swali: Je kuna haja ya kutafuta jambo lingine tena baada ya kumwamini YESU? Katika kitabu cha Yohana 3:18 na 3:36, Neno la Mungu linasema: "...
2 Reactions
1 Replies
118 Views
Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine Maandiko, katika kitabu cha Ufunuo 3:14, yanasema, kama ifuatavyo: “Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye...
2 Reactions
5 Replies
251 Views
Hai make sense kabisa mnyonge anaonewa na kuteseka na aliebakiza nguvu ya maombi kama tumaini lake abaki kuteseka huku mtesaji wake ambae hajawahi kupiga hata goti anaendelea kuneemeka yeye na...
0 Reactions
2 Replies
68 Views
Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima...
3 Reactions
18 Replies
306 Views
"Ninaitwa Eza Ashindikene. Kwa sasa ninaishi Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga. Mwaka 2025, wakati wa uchaguzi Mkuu Tanzania, nilipata nafasi ya kuandika nyimbo kama msanii kwa ajili ya kuunga...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM. Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily? Uwinga saivi...
2 Reactions
8 Replies
135 Views
What do you,thought?..labda maisha yatakuwa sawa na bora kwa kila mwafrika...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Jaji Mstaafu Sinde Warioba amesema kwamba anamfahamu vyema aliyekuwa Makamu wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi, akisema kuwa sio chawa. Ameeleza kuwa Nchimbi amekuwa akimtembelea, ambapo hupata...
5 Reactions
8 Replies
211 Views
*KATIBA inaweka sharti kwamba makamu wa Rais awe na sifa za kikatiba ikiwemo swala la uanachama wa chama Cha siasa *Mh nchibi aliandika kwamba kujiuzuru kwake kuanze tarehe 4 September na Rais...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
You’re about to overcome something you’ve been dealing with. Your mind and heart will soon be at peace again. You’re going to start feeling lighter. Things are about to get clear. Breathe through...
2 Reactions
1 Replies
66 Views
Boda wana hela sana kwa siku wanaingiza pesa nyingi sana ushahidi upo kwenye mahojiano na vyombo vya habari wamesikika waking'aka kujenga majumba, kusomesha watoto shule Bora kabisa na kuwashangaa...
2 Reactions
7 Replies
201 Views
Inadaiwa kuwa tarehe 22 Julai 2026, jijini Dubai, Spika, wabunge, Waziri wa Uchumi Mbalawa pamoja na mtoto wa Rais Samia Abdul, wakifuatana na wabunge wengine takribani 25, walihudhuria shughuli...
35 Reactions
90 Replies
2K Views
Haka kazee ketu , kanaonekana kapole , kastaarabu , Tena kazuri kenyewe kamenona na hakana shida na mtu. Ila sasa ngoja kafungue mdomo wake kaanze kumwaga sera zake ,ndipo utajua ubaya wa njaa...
11 Reactions
13 Replies
368 Views
"Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia...
0 Reactions
7 Replies
144 Views
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR), Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS: na Anasema hata Kipimo chake hakiwezi kumwona HIV . Njoo kwa madaktari wa kibongo sasa 🤣🤣🤣...
0 Reactions
43 Replies
564 Views
Back
Top Bottom