Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ripoti maalumu Rafiki yangu bill na mlevi mwandamizi, mzaliwa wa kigogo roundabout, hua akisema kitu juu ya spirits zetu bongo namkubali. Kwanza tulipiga story za grants, black & white...
11 Reactions
47 Replies
11K Views
Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi. Tunangoja tumalize shule. Tunangoja tupate ajira. Tunangoja tupate mchumba. Tunangoja mchumba abadilike. Tunangoja ndoa. Tunangoja...
7 Reactions
16 Replies
162 Views
Anonymous
Tunamsihi Rais au Waziri Mkuu atuambie hatima ya Kwala Dry Port ni ipi. Juzi tu kulikuwa na mjadala kuhusu mabasi kutokuingia mjini kwa lengo la kupunguza msongamano katikati ya jiji. Cha ajabu...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar. On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana...
3 Reactions
6 Replies
145 Views
Imefanya nchi kuwa maskini toka tupate uhuru kutoka kwa mkoloni.hadi sasa ni umaskin tuh hatuna cha maana ni upuuzi tuh. Uganda, Kenya ipo mbele yetu...
1 Reactions
6 Replies
112 Views
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako...
14 Reactions
262 Replies
4K Views
  • Redirect
Ninahitaji kupata watu tutakao saidiana kuipinduwa serikali ya CCM kuitowa madarakani.hiki chama hakina faida kwa mtanzania ni chama ovyo kabisa.
1 Reactions
– Replies
– Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu...
0 Reactions
2 Replies
222 Views
Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu...
1 Reactions
15 Replies
150 Views
MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa...
7 Reactions
12 Replies
290 Views
Gundu ni kiambishi cha kuelezea mambo kwenda mrama mambo kuharibika, mambo kutanzika! Hali ya kuchukiwa na hata kutengwa. Kinyesi pamoja na kwamba ni samadi nzuri kikishaoza na uvundo kwisha...
58 Reactions
219 Replies
52K Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Kama kuna mtu aliwahi kufanya jaribio lolote ambalo halihatarishi maisha yako, hakuna sida. Kama kuna mtu yeyote aliwahi Fanya jaribio la kutaka kukua (kukutoa uhai)...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana) Nilichomwambia Rais Samia (23 October 2025) Kabla Ya Uchaguzi Mkuu: CCM ikikaa meza moja ya mazungumzo na CHADEMA, utakuwa ni ushindi mkubwa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo...
3 Reactions
14 Replies
153 Views
Hii nimeikuta mahali, baba anaishi maisha magumu ya kimaskini sana, lakini mtoto wake ni milionea! Baba anamwomba mtoto angalau amthamini tu kama baba, lakini mtoto anamtolea nje! Hampi hata...
1 Reactions
6 Replies
161 Views
Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu. Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga...
15 Reactions
17 Replies
373 Views
  • Redirect
Habari wakuu wa JF, Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
1 Reactions
– Replies
– Views
Kuna watu wanaamka asubuhi saa 11 kwenda kazini. Wengine wanaamka saa 11 pia, lakini hawana mahali pa kwenda. Mmoja anavaa sare za kazi, mwingine anavaa nguo zake za kawaida na kutoka kutafuta...
6 Reactions
13 Replies
365 Views
Hellow habari, samahani naomba tuonane pale pa siku zote nina ujumbe wako, nisimu ambayo niliwasiliana na binti ambaye kwa kipindi kile nilitamani kuanzisha maisha naye ya pamoja Miakaa kadhaa...
1 Reactions
5 Replies
131 Views
  • Redirect
Habari wakuu wa JF, Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom