Katika mabaliko ya katiba tusisahau hili

insane

Member
Joined
Jun 9, 2026
Posts
11
Reaction score
20
Katika mabadiliko ya katiba tusisahau kuhakikisha kila halmashauri inajetegemea yenyewe hasa katika mapato yake inayokusanya yenyewe. Hii itasaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja.
Badala ya kukusanya na kusipeleka serikalini kisha baadae kwenda kuzililia lilia bungeni badala yake zinakusanywa zinaishia hapo hapo halmashauri na uongozi wake watajua wanazifanyia. itapunguza mnyororo kwa wananchi wake kujua hela tuliyotoa ni kiasi gani na tunaitaji kiasi gani ili tuweze kukamilisha tunayoyahitaji katika halmashauri, pia ikitokea tatizo tujue kwa haraka tunamnyoshea nani kidole.
Haiwezekani mnatoa 10000 inakuja 1500 tena kwa kuisotea serikalini. Nini maana yake
 
Hata kesi za uhaini ziwe na dhamana sio Kila siku Ugaidi!
 
Back
Top Bottom