Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..
Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka. Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio...
Niliwahi leta taarifa hapa kuhusu kifo cha anko wangu mzenji, alikua member wa jamii forum.
Maswali ambayo Hadi Leo NAJIULIZA na sipati jibu ni haya.
Umri wa anko ULIKUA mkubwa sana, lakini...
Nimekuwa nikisikia shuhuda nyingi redioni kuwa yesu amebadilisha maisha yangu, nilikuwa na madeni yote yamefutika. Mwingine alikuwa na magonjwa yaliyoshindikana lakini alipona.
Wadau, mbona...
Habari! na Karibu, Kupitia video hii leo nitakujuza jinsi ya kuomba Leseni/Cheti cha Usajili wa Kiwanda kwenye mfumo wa BOS.
Baada ya kuingia kwenye mfumo bofya sehemu iliyoandikwa Industrial...
Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌
Nimepiga interview nyingi then after hapo...
Kabla sijaenda naomba kwanza nisahihishe jambo moja muhimu: si sahihi kusema kwamba kila eneo hapa chini lina sheria ya jumla inayosema “hairuhusiwi kupiga picha.” Baadhi ni maeneo nyeti ambayo...
Uzuiaji mkuu wa pepo kwa ajili ya kubomoa uchawi wote unaompiga binadamu au wanyama.
Tamka maneno yafuatayo:
Ewe pepo, toka katika mwili wa N. (taja jina), kwa amri ya Mungu ninayemwabudu, na...
Je umewahi kusoma ahadi hizi?
Ahadi za Tanganyika African National Union (TANU)
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi...
"""Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya;,,,, watapanda juu kwa mbawa kama tai;,,, watapipiga mbio wala hawatachoka;,,,, watakwenda kwa miguu,,, wala hawatazimia"""
Isaya 40:31...
Kama ni 1st time kiongoz kutumia JF lazima utajua huu ni mtandao wa chama cha upinzani hasa CDM au mtandao wa kiarakati maana uku watu wanapinga serikali na chama chake tena kwaruga...
Hakika Mungu kaipendelea Tanzania. Valentina Gabriel jina lake, almaaruf Vale Nafaka a girl with an extra ordinary, natural and undisputed beauty. Who makes heads turn and pulses run fast.
God...
Nimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery .
Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.
Salaam Wana JF
Hapa ni Sinza Africasana, mtaro wa upande wa barabara ya kuingia Mabatini police
Je, mamlaka hazioni hili? Lakini pia Wananchi tunawajibikaje kulinda mazingira yetu? Na...
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa...
Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer.
👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo...
Habari za Sabato!
Leo huko Tiktok, instagram, na Facebook habari kuu ni mabaharia waliorudishwa kutoka South Afrika.
Aiseeh! Uwanja wa comments watu wanamwaga upupu sio poa.
Kejeli
Dhihaka...
Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo.
Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza...
2 Wakorintho 5:17
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
Matunda ya kumpokea Yesu kristo na Yesu kristo akawa anaishi ndani yako...
Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na...
Chimbuko la ubatizo wa maji mengi
Yesu alisema hivi: "Amini, Amin, nakuambia mtu asipozaliwa kwa maji na kwa roho hawezi kuingia ufalme wa Mungu" (Yohana 3:5). Kuhusu ubatizo, ni muhimu kufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.