UDSM kunani hapo?

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
10,603
24,294
Habari za wakati huu wadau.
Huku Nikiamini katika uelewa wetu juu ya umuhimu na nafasi ya Chuo kikuu cha DSM katika nchi yetu. Nimeona ni vema niwasilishe haya labda itasaidia kuboresha chuo chetu hiki na kukifanya kisimame tena hasa wakati huu ambapo kinaporomoka kielimu kwa kasi hatarishi.

Back to my aim,
1- Kwa nini chuo hakina library na maabara japo moja ya kisasa ya biotechnology, Chemistry ama Physics hadi Leo mwaka 2017? Wanafundishaje wanafunzi hapa? Products zinazotoka zipoje?? Kwenye international market zinafit vipi?

NB: Asante wachina mnatujengea hii library, maana huenda hawa walimu wetu wasingegundua kama tunahitaji library.

2. Nyie mnaohusika na hii website ya chuo, hivi hamuoni aibu??
Hamjifunzi hata vyuo vingine wanafanyaje?
Nini kinawakwamisha? Ukifungua website ukitaka kutafuta kozi za postgraduate unakutana na attachment (world document) imeorodhesha kozi zote za UDSM..

Sasa foreigner anajuaje course contents? Sio mtaalamu wa haya mambo but it is disgusting kwa chuo kikubwa kama hiki, Halafu hiyo picha ya mkuu wa chuo what for???? Tena hapa ni vyuo karibu vyote tz ukifungua websites unakutana na picha za wakuu wa vyuo? Who cares? Hebu tuwe serious. We can't market our education in this way.

3. Mnafanyaje analysis ya mahitaji ya soko?
Wahitimu wenu mnatupimaje kama tunaendana na mahitaji ya jamii kwa wakati husika? Vipi kwenye soko la kimataifa? Tunafit huko?

4. Mazingira na Miundombinu ya Chuo kwa ujumla.
Mimi nlidhani nikiingia chuoni walau nikute mazingira safi, yanatunzwa na majengo walau yana mwonekano wa chuo kikuu, ukizingatia hapa kuna wataalamu wa mazingira, mainjinia, botanists, zoologists, economists, na wataalamu wa kila aina,

Na jamii kwa ujumla ichukulie UDSM kama sehemu pa mfano wa Kuigwa. Sio mahala pachafu kama palivyo sasa. UDSM pamoja na kuwa na uoto mzuri wa asili, mazingira haya hutunzwa na mvua za msimu na hata majengo ya chuo yamechoka mithiri ya mabanda ya kufugia ng'ombe ya SUA.
Jamani pakeni rangi japo hilo jengo la utawala,

Au mnasubiri tena Magufuli awaambie mpake kama alivyowaambia mjenge hostel?? Be proactive aisee, or pisheni wakae wengine.

Tizama haya majengo ya chuo kikubwa nchini
Hili la kwanza ni jengo la utawala, Lina minara juu utadhani jengo la Jeshi la kdf, sijui tigo wamefunga mitambo yao huko juu.. I don't know.
IMG_20170206_190216.jpg

IMG_20170206_185545.jpg
IMG_20170206_185538.jpg

Meanwhile, vyuo Vingine vya Hadhi ya UDSM
Makerere University-UG
IMG_20170223_233002_594.JPG

IMG_20170223_233024_231.JPG

Cairo University -Egypt
IMG_20170223_233038_077.JPG

University of KwaZulu Natal-SA
IMG_20170223_233106_778.JPG

University of Cape town -SA
IMG_20170223_233146_608.JPG
IMG_20170223_233125_513.JPG

NB, UDSM pesa sio shida kwao.
Wala Human resource sio Tatizo .
Hivyo sioni sababu yoyote ya msingi kwa UDSM kutokuwa level za Pretoria University.
 
Habari za wakati huu wadau.

Huku Nikiamini katika uelewa wetu juu ya umuhimu na nafasi ya Chuo kikuu cha DSM katika nchi yetu.
Nimeona ni vema niwasilishe haya labda itasaidia kuboresha chuo chetu hiki na kukifanya kisimame tena hasa wakati huu ambapo kinaporomoka kielimu kwa kasi hatarishi.

Back to my aim,
1-Kwa nini chuo hakina library na maabara japo moja ya kisasa ya biotechnology, Chemistry ama Physics hadi Leo mwaka 2017? Wanafundishaje wanafunzi hapa? Products zinazotoka zipoje?? Kwenye international market zinafit vipi?
NB: asante wachina mnatujengea hii library, maana huenda hawa walimu wetu wasingegundua kama tunahitaji library.

2. nyie mnaohusika na hii website ya chuo, hivi hamuoni aibu??
Hamjifunzi hata vyuo vingine wanafanyaje?
Nini kinawakwamisha? Ukifungua website ukitaka kutafuta kozi za postgraduate unakutana na attachment (world document) imeorodhesha kozi zote za UDSM..
Sasa foreigner anajuaje course contents?
Sio mtaalamu wa haya mambo but it is disgusting kwa chuo kikubwa kama hiki,
Halafu hiyo picha ya mkuu wa chuo what for???? Tena hapa ni vyuo karibu vyote tz ukifungua websites unakutana na picha za wakuu wa vyuo? Who cares? Hebu tuwe serious. We can't market our education in this way.

3.
Mnafanyaje analysis ya mahitaji ya soko?
Wahitimu wenu mnatupimaje kama tunaendana na mahitaji ya jamii kwa wakati husika?
Vipi kwenye soko la kimataifa? Tunafit huko?

4. Mazingira na Miundombinu ya Chuo kwa ujumla.
Mimi nlidhani nikiingia chuoni walau nikute mazingira safi, yanatunzwa na majengo walau yana mwonekano wa chuo kikuu, ukizingatia hapa kuna wataalamu wa mazingira, mainjinia, botanists, zoologists, economists, na wataalamu wa kila aina,
Na jamii kwa ujumla ichukulie UDSM kama sehemu pa mfano wa Kuigwa. Sio mahala pachafu kama palivyo sasa.
UDSM pamoja na kuwa na uoto mzuri wa asili, mazingira haya hutunzwa na mvua za msimu na hata majengo ya chuo yamechoka mithiri ya mabanda ya kufugia ng'ombe ya SUA.
Jamani pakeni rangi japo hilo jengo la utawala,

Au mnasubiri tena Magufuli awaambie mpake kama alivyowaambia mjenge hostel??
Be proactive aisee, or pisheni wakae wengine.

Tizama haya majengo ya chuo kikubwa nchini
View attachment 473913
View attachment 473915View attachment 473916

Meanwhile, vyuo Vingine vya Hadhi ya UDSM
Makerere University-UG
View attachment 473924
View attachment 473917
Cairo University -Egypt
View attachment 473918

University of KwaZulu Natal-SA
View attachment 473919

University of Cape town -SA
View attachment 473920View attachment 473921

Halafu inaonekana kuwa muonekano wa Picha za hivyo Vyuo Vikuu vyote hapo unasadifu na aina ya Wahitimu wao wanaotokea hapo ambapo wengine ni wa hovyo hovyo products huku wengine wakiwa ni wa uhakika products.
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana,bila shaka wahusika watakusikia na kuyafanyia kazi mawazo yako.
In fact ni vile unaona wasomi wenye PhD wapo wapo tu yaani,
Inaleta hasira. Hasa ukizingatia kizazi chao walisoma tuition fee-free!
 
Habari za wakati huu wadau.

Huku Nikiamini katika uelewa wetu juu ya umuhimu na nafasi ya Chuo kikuu cha DSM katika nchi yetu.
Nimeona ni vema niwasilishe haya labda itasaidia kuboresha chuo chetu hiki na kukifanya kisimame tena hasa wakati huu ambapo kinaporomoka kielimu kwa kasi hatarishi.

Back to my aim,
1-Kwa nini chuo hakina library na maabara japo moja ya kisasa ya biotechnology, Chemistry ama Physics hadi Leo mwaka 2017? Wanafundishaje wanafunzi hapa? Products zinazotoka zipoje?? Kwenye international market zinafit vipi?
NB: asante wachina mnatujengea hii library, maana huenda hawa walimu wetu wasingegundua kama tunahitaji library.

2. nyie mnaohusika na hii website ya chuo, hivi hamuoni aibu??
Hamjifunzi hata vyuo vingine wanafanyaje?
Nini kinawakwamisha? Ukifungua website ukitaka kutafuta kozi za postgraduate unakutana na attachment (world document) imeorodhesha kozi zote za UDSM..
Sasa foreigner anajuaje course contents?
Sio mtaalamu wa haya mambo but it is disgusting kwa chuo kikubwa kama hiki,
Halafu hiyo picha ya mkuu wa chuo what for???? Tena hapa ni vyuo karibu vyote tz ukifungua websites unakutana na picha za wakuu wa vyuo? Who cares? Hebu tuwe serious. We can't market our education in this way.

3.
Mnafanyaje analysis ya mahitaji ya soko?
Wahitimu wenu mnatupimaje kama tunaendana na mahitaji ya jamii kwa wakati husika?
Vipi kwenye soko la kimataifa? Tunafit huko?

4. Mazingira na Miundombinu ya Chuo kwa ujumla.
Mimi nlidhani nikiingia chuoni walau nikute mazingira safi, yanatunzwa na majengo walau yana mwonekano wa chuo kikuu, ukizingatia hapa kuna wataalamu wa mazingira, mainjinia, botanists, zoologists, economists, na wataalamu wa kila aina,
Na jamii kwa ujumla ichukulie UDSM kama sehemu pa mfano wa Kuigwa. Sio mahala pachafu kama palivyo sasa.
UDSM pamoja na kuwa na uoto mzuri wa asili, mazingira haya hutunzwa na mvua za msimu na hata majengo ya chuo yamechoka mithiri ya mabanda ya kufugia ng'ombe ya SUA.
Jamani pakeni rangi japo hilo jengo la utawala,

Au mnasubiri tena Magufuli awaambie mpake kama alivyowaambia mjenge hostel??
Be proactive aisee, or pisheni wakae wengine.

Tizama haya majengo ya chuo kikubwa nchini
Hili la kwanza ni jengo la utawala, Lina minara juu utadhani jengo la Jeshi la kdf, sijui tigo wamefunga mitambo yao huko juu.. I don't know.
View attachment 473913
View attachment 473915View attachment 473916

Meanwhile, vyuo Vingine vya Hadhi ya UDSM
Makerere University-UG
View attachment 473924
View attachment 473917
Cairo University -Egypt
View attachment 473918

University of KwaZulu Natal-SA
View attachment 473919

University of Cape town -SA
View attachment 473920View attachment 473921
NB, UDSM pesa sio shida kwao.
Wala Human resource sio Tatizo .
Hivyo sioni sababu yoyote ya msingi kwa UDSM kutokuwa level za Pretoria University.
kabla ya kuandika uwe unafanya utafiti mzee!
ntakujibu no1;kuna library kubwa inajengwa afrika mashariki na kati km sio afrika hapo katika kati ya yombo5 n udbs;na hayo majengo ya utawala hapo cass tower kutakuwa na daraja kubwa kutoka library mpk cass/coss tower!

na hayo mengine yote juhudi zinachukuliwa nenda flat research chin kaangalie majengo mapya,nenda coet chini kule kaangalie majengo mapya;hill park chin kachek;caftria ya yombo juu porini kule majengo mapya kachek!

#n.b kwa geografia ya mlimani majengo hayawez kurundikana sehemu moja,na km mgen unawez hiz ud inaishia utawala!
 
.... Hiyo library nipo aware nayo, ni hatua nzuri. Sasa tupo 2017, Ni vizuri kuwa na plans, unfortunately people are only interested with results, neither your plans.
Na kwa Ujumla chuo kinaporomoka, juhudi za makusudi zinahitajika !
 
huyu jamaa anaonekana ni mpita njia, UDSM si kama ulivoielezea.
Who cares,? unataka nijue nini? kwenye ranks za Africa chuo kinajikita mkiani, website mbovu, elimu substandard, miundombinu hafifu,
By the way, hiki chuo sio chako, usihangaike kutetea, ni chetu Watanzania wote. Tusaidiane kukisaidia kwa kukosoa.
Hii itasaidia kuinua elimu yetu Mimi na wewe.
 
kabla ya kuandika uwe unafanya utafiti mzee!
ntakujibu no1;kuna library kubwa inajengwa afrika mashariki na kati km sio afrika hapo katika kati ya yombo5 n udbs;na hayo majengo ya utawala hapo cass tower kutakuwa na daraja kubwa kutoka library mpk cass/coss tower!

na hayo mengine yote juhudi zinachukuliwa nenda flat research chin kaangalie majengo mapya,nenda coet chini kule kaangalie majengo mapya;hill park chin kachek;caftria ya yombo juu porini kule majengo mapya kachek!

#n.b kwa geografia ya mlimani majengo hayawez kurundikana sehemu moja,na km mgen unawez hiz ud inaishia utawala!

Ungemjibu kwa mapicha.
 
huyu jamaa anaonekana ni mpita njia, UDSM si kama ulivoielezea.
Sio kweli mkuu! Kwenye ukweli, tuwe wakweli! Mleta mada ameandika ukweli kabisa, hiki chuo chetu kina heshima kubwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati, hakifai kuwa hivyo! Uongozi wa chuo wanatakiwa kuwa wabunifu hasa kwenye facilities zinazogusa taaluma moja kwa moja kama maabara na maktaba za kisasa ili kutoa product zilizoiva kwelikweli
 
Who cares,? unataka nijue nini? kwenye ranks za Africa chuo kinajikita mkiani, website mbovu, elimu substandard, miundombinu mibovu,
By the way, hiki chuo sio chako, usihangaike kutetea, ni chetu Watanzania wote. Tusaidiane kukisaidia kwa kukosoa.
Hii itasaidia kuinua elimu yetu Mimi na wewe.

sikatai ukosoaji wako,
website mbovu nakubali, miundombinu ya miaka ya 70 haiwezi kuendana na mahitaji ya sasa hata kidogo.
unapaswa kufahamu idadi ya wanafunzi imeongezeka maradufu ukilinganisha na facilities zilizopo.
 
Hivyo mkuu hata Mimi nitashindwa kukuelewa.
hapo ni chuo kikuu., meaning
Wataalamu wa hapo ndio waleta suluhu za matatizo yooote kwenye jamii yetu, (their No.1 responsibility).,
Sasa kama chuo hakitatui changamoto zake binafsi pamoja na mrundikano wa wasomi hapo huku mtaani wategemea nini?
 
Tatizo la mwandishi viroba vinamsumbua, Tumia akili chuo kilijengwa lini na kipindi hicho miaka hiyo hayo majengo kwa Dar yalikuwa the best, huwezi bomoa kila kumbukumbu ili uendane na technology mpya, Ungeshauri wajenge Campus mpya zingine sio hayo mawazo ya viroba
 
Watanzania aise, hawakubali mabadiliko, jamaa ameshauri lkn kupokea ushauri wake ni kazi, tutaendelea kweli namna hii. Maisha ya kitamaduni ya jamii tulizotoka ni shida, ndiyo yanayotuathiri. Chukuweni ushauri kama unafaa!
Kiukweli Magufuli hata aForge Miaka mingine 5 bado amebakiza miaka 7.Sasa hivi ameshamaliza miaka 3!
 
Habari za wakati huu wadau.

Huku Nikiamini katika uelewa wetu juu ya umuhimu na nafasi ya Chuo kikuu cha DSM katika nchi yetu.
Nimeona ni vema niwasilishe haya labda itasaidia kuboresha chuo chetu hiki na kukifanya kisimame tena hasa wakati huu ambapo kinaporomoka kielimu kwa kasi hatarishi.

Back to my aim,
1-Kwa nini chuo hakina library na maabara japo moja ya kisasa ya biotechnology, Chemistry ama Physics hadi Leo mwaka 2017? Wanafundishaje wanafunzi hapa? Products zinazotoka zipoje?? Kwenye international market zinafit vipi?
NB: asante wachina mnatujengea hii library, maana huenda hawa walimu wetu wasingegundua kama tunahitaji library.

2. nyie mnaohusika na hii website ya chuo, hivi hamuoni aibu??
Hamjifunzi hata vyuo vingine wanafanyaje?
Nini kinawakwamisha? Ukifungua website ukitaka kutafuta kozi za postgraduate unakutana na attachment (world document) imeorodhesha kozi zote za UDSM..
Sasa foreigner anajuaje course contents?
Sio mtaalamu wa haya mambo but it is disgusting kwa chuo kikubwa kama hiki,
Halafu hiyo picha ya mkuu wa chuo what for???? Tena hapa ni vyuo karibu vyote tz ukifungua websites unakutana na picha za wakuu wa vyuo? Who cares? Hebu tuwe serious. We can't market our education in this way.

3.
Mnafanyaje analysis ya mahitaji ya soko?
Wahitimu wenu mnatupimaje kama tunaendana na mahitaji ya jamii kwa wakati husika?
Vipi kwenye soko la kimataifa? Tunafit huko?

4. Mazingira na Miundombinu ya Chuo kwa ujumla.
Mimi nlidhani nikiingia chuoni walau nikute mazingira safi, yanatunzwa na majengo walau yana mwonekano wa chuo kikuu, ukizingatia hapa kuna wataalamu wa mazingira, mainjinia, botanists, zoologists, economists, na wataalamu wa kila aina,
Na jamii kwa ujumla ichukulie UDSM kama sehemu pa mfano wa Kuigwa. Sio mahala pachafu kama palivyo sasa.
UDSM pamoja na kuwa na uoto mzuri wa asili, mazingira haya hutunzwa na mvua za msimu na hata majengo ya chuo yamechoka mithiri ya mabanda ya kufugia ng'ombe ya SUA.
Jamani pakeni rangi japo hilo jengo la utawala,

Au mnasubiri tena Magufuli awaambie mpake kama alivyowaambia mjenge hostel??
Be proactive aisee, or pisheni wakae wengine.

Tizama haya majengo ya chuo kikubwa nchini
Hili la kwanza ni jengo la utawala, Lina minara juu utadhani jengo la Jeshi la kdf, sijui tigo wamefunga mitambo yao huko juu.. I don't know.
View attachment 473913
View attachment 473915View attachment 473916

Meanwhile, vyuo Vingine vya Hadhi ya UDSM
Makerere University-UG
View attachment 473924
View attachment 473917
Cairo University -Egypt
View attachment 473918

University of KwaZulu Natal-SA
View attachment 473919

University of Cape town -SA
View attachment 473920View attachment 473921
NB, UDSM pesa sio shida kwao.
Wala Human resource sio Tatizo .
Hivyo sioni sababu yoyote ya msingi kwa UDSM kutokuwa level za Pretoria University.
Kila siku wako nchi za watu, hua najiuliza hua hawaoni wenzetu nn wanafanya?!
Maana kati ya watu wanaotoka sana kwenda nje na viongozi wa vyuo vikuu wamo lkn sioni hata impact kubwa inayoonekana. Sio udsm tu hata vyuo vingine vya public nako ujanja ujanja tu.
 
Back
Top Bottom