Arusha airport yajiweka tayari kwa AFCON 2027

Arusha airport yajiweka tayari kwa AFCON 2027

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,120
Reaction score
879
Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la maegesho ya magari likipanuliwa hadi takribani mita za mraba 15,000, hatua zinazoongeza uwezo wa uwanja kuhudumia abiria na wageni kuelekea AFCON 2027.
IMG-20260831-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom