Njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kV 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma imekamilika, hatua inayowezesha umeme wa JHPP kufika Dodoma kupitia Chalinze. Pia, SGR itapata njia yake maalum ya umeme...
Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu
Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA...
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda...
DC TARIME ATOA KATAZO WANANCHI KUENDELEZA MAENEO YANAYOGUSWA NA MRADI UJENZI BWAWA LA TSF- NORTH MARA
TARIME,
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja Edward Gowele, amewataka wananchi wa Kijiji cha...
Baadhi ya wanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Mitundu B, Singida wanabaki shuleni hadi usiku kwa ajili ya masomo ya ziada (prepo), licha ya baadhi yao kutokuwa wamekula tangu...
Hbr waungwana!
Kuna bwana mdogo yupo hapo Tz, anatakiwa afuatilie cheti cha Form 4,amemaliza mwaka Jana, ananiambia sijui wanalipia Elfu ISHIRINI! Je wanalipia wapi ili kukipata?ni malipo halali...
16 Julai 2026
Mkurugenzi Mkuu,
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA),
S.L.P 944
Dar es Salaam.
Ndugu CPA, Dkt. Habibu J. Suluo
YAH: MAOMBI YA KUFUNGUA NA KUSAJILI NJIA MPYA YA DALADALA...
Kwa mfano utasikia watanzania siku CCM ikiondoka madarakani, ndo ufisadi utaisha. Kwanini usiishe sasa?
Nikioa nitaacha kuwa na matumizi mabaya ya pesa kwa wanawake na starehe, kwanini usiache...
Tarehe 31 Agosti,2024
Rais Samia alihudhuria na kutoa hotuba katika Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma Qur'an Tukufu kwa Wasichana, yaliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA BUNGE
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
Mabwepande kuelekea Bunju B ni Shilingi 1,500 kwa Bajaj kitu ambacho ni gharama kubwa kwa wananchi wa hali ya chini, ushauri wangu zipatikane daladala zitoke Mabwepande ziende Tegeta Nyuki, ambapo...
DC GOWELE ATAKA UANGALIFU ZOEZI LA FIDIA TSF-NORTH MARA
TARIME
Mkuu wa Wilaya ya Tarima mkoani Mara Mhe. Meja. Edward Gowele, amewaagiza viongozi wanaosimamia zoezi la uthamini wa fidia eneo la...
Kama mtu amepata vijipesa vyake visivyo na makandokando je anaweza fanya ujenzi kwenye underground ya eneo lake(nyumba binafsi yakuishi au hotel,packing au banker)
Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo!
Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita...
Ukikosa hela kwenye sirikali hii ya wagaikoko , tambua wewe ni kiazi Mbwa takataka.
Yani mzazi wako alitakiwa avae kondom usizaliwe kabisa, takataka na mpumbavu kama wewe ,gademitt.
Mtaani kwetu hapa Kimara Mwisho karibu na Ukumbi maarufu wa Noble kuna ghorofa ambalo limetelekezwa na sasa lina dalili ya kuanguka.
Tumeshawahi kuripoti katika Serikali ya Mtaa walifika na...
INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.