Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 925
- 2,527
Huwa najiuliza , kama taasisi ya serikali moja ya nyezo muhimu za kuboresha huduma ni kupokea maoni.
Cha ajabu TRA wakiposti wanafunga maoni, sasa naijuiliza huwa wanampostia nani sasa.
Tafrisi ya haraka ya wanachofanya ni kuonesha kuwa kazi na shughuli zao sio halali.