Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamii, Naomba msaada wenu kuhusu jambo ambalo limekuwa likinipa hofu kwa muda naenda mwaka wa pili sasa. Nimekuwa nikiota ndoto zinazojirudia mara kwa mara kuhusu nyoka wa aina tofauti...
6 Reactions
17 Replies
208 Views
Kipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwashuru wafuatao Mungu Mwenyezi baba wa mbinguni Wazazi wangu Familia yangu Ndugu zangu, jamaa na marafiki Members wote wa Jamii Forum Uongozi mzima wa Jamii...
55 Reactions
210 Replies
14K Views
Nimepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika Kasulu Sugar Project, mradi wa kiwanda cha sukari unaojengwa Wilaya ya Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Wanadai kukumbana na...
1 Reactions
1 Replies
252 Views
  • Redirect
Linaripoti gazeti la New york post(Marekani): Mshawishi maarufu wa mitandao ya kijamii anayeishi Santa Monica nchini Marekani na mwenye zaidi ya wafuasi milioni 10, anadai katika kesi mpya kwamba...
10 Reactions
– Replies
– Views
Acha kuogopa usiku wa manane! Muda wa hatari zaidi wa kupoteza akili, kufanya maamuzi ya hovyo, au kupishana na majini si saa saba usiku... Ni SAA SITA KAMILI ZA MCHANA! Unadhani wazee...
13 Reactions
41 Replies
909 Views
Huwa napata tabu sana wajomba wanapokua likizo na kuja kunitembelea mjomba wao huwa wanauliza maswali yasiyokuwa na majibu (majibu yenye ukakasi) Sana sana maswali wanayatoa kwenye topic ya...
29 Reactions
304 Replies
16K Views
Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani. Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za...
2 Reactions
8 Replies
143 Views
Uongozi wa Hospitali ya JKCI - Dar Group watumishi wenu wanawakumbusha kuwa wamekua wenye subra na wavumilivu sanaa huku wakitumiza wajibu wao kikamilifu bila motisha, awali ya yote mrejee ahadi...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Wakuu kwema... Labda wenye ujuzi wa mambo ningependa mnijuze hivi kwanini watu wanaiba hii mikate?? Mikate hii inaweza kupatikana madukani mtu ukanunua na kufanyia mambo yako hata kama ni kunywea...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Bora niweke focus kuongeza competence kwenye career yangu. Forex unapiga hatua tatu mbele kisha nne nyuma. Sio discipline wala strategy kitakachokuokoa.
7 Reactions
20 Replies
358 Views
Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service...
4 Reactions
9 Replies
150 Views
Ndugu zangu wa JamiiForums, amani iwe kwenu. Leo nimeona niwaletee mada hii kwa ajili ya tafakari ya kina kuhusu sifa ambazo wanadamu wanampa Mungu. Katika maisha ya kila siku, tunajua kuwa sifa...
4 Reactions
26 Replies
239 Views
Habari ndugu zangu? Issue iko hivi, dogo yupo kidato cha nne, anasoma shule ya sekondari IGANZO, ipo mkoa wa Mbeya. Mwezi wa sita mwaka huu walifunga shule, lakini kwakuwa yupo kidato cha nne...
6 Reactions
46 Replies
602 Views
Wakuu, leo nimeamua kuandika haya kutoka moyoni. Kwa sasa sina kazi ya kudumu. Maisha yanaendelea, mahitaji yapo, lakini wakati mwingine unajiuliza: kesho nitafanya nini ili maisha yaendelee...
12 Reactions
25 Replies
425 Views
Wakuu! Hivi hawa wanao sajili laini ukimkamata amesajili laini zaidi unamfanyaje wakuu? Yani nimesajili laini kwa wakala, halafu nacheki kwenye system baada ya kupiga *106# kucheki namba...
3 Reactions
24 Replies
250 Views
Kutoa matusi hadharani ni kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria za Nchi. Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 ya Sheria za Nchi imeweka makosa ya aina tatu yanayohusu utoaji wa matusi ambayo...
1 Reactions
21 Replies
24K Views
Kama inavyosemakana binadamu alivyoumbwa ametokana na wanyama tena ikaonyeshwa kama nyani nadhani kwwnye uumbajiMungu alisahau baadhi ya vitu. Ukiangalia nyani miguu yote ina vodole ambavyo...
1 Reactions
25 Replies
358 Views
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezialika kampuni za Marekani kuwekeza katika rasilimali kubwa za madini za nchi hiyo, huku ikitaka Marekani kupunguza vikwazo vya kiuchumi na kuachilia...
2 Reactions
20 Replies
274 Views
Mwili wa kijana anayefahamika kwa jina la Aron Enock Urio, aliyekuwa akiendesha bodaboda eneo la Tengeru Kwa Fundi, umeokotwa katika shamba lililopo Kitongoji cha Madira, Kijiji cha Singisi, Kata...
2 Reactions
6 Replies
158 Views
Wakati huu ukiwa nyumbani, sikiliza MAELEZO PODCASTS upate elimu na ufafanuzi juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Niño na tahadhari za kuchukua🎙️ 🎙️ Spotify: open.spotify.com/episode/0gcaIl… 🎙️...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Back
Top Bottom