Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwili wa kijana anayefahamika kwa jina la Aron Enock Urio, aliyekuwa akiendesha bodaboda eneo la Tengeru Kwa Fundi, umeokotwa katika shamba lililopo Kitongoji cha Madira, Kijiji cha Singisi, Kata...
2 Reactions
6 Replies
158 Views
Wakati huu ukiwa nyumbani, sikiliza MAELEZO PODCASTS upate elimu na ufafanuzi juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Niño na tahadhari za kuchukua🎙️ 🎙️ Spotify: open.spotify.com/episode/0gcaIl… 🎙️...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Kuna dada mmoja mitandao kalalamika kuibiwa pesa zake kwenye account za CRDB .Baada ya kupost aisee comment zilizokuwepo hapo. Unaweza kuogopa kuweka pesa CRDB.
4 Reactions
27 Replies
875 Views
Katika moja ya matamanio ya wana dunia wengi ni kupata mafanikio makubwa katika upande wa kifedha, hivo husababisha watu kujaribu kutumia njia nyingi sana ili kuongeza nafasi zao za kufikia...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilieleza jinsi ambavyo shetani ni roho hutafuta watendea kazi wenye mwili. Kumuangamiza mtu kirahisi humtumia ndugu wa nyumbani mwake. Na Mungu ni hivo hivo, huwalinda na kuwatumia wateule wake...
2 Reactions
15 Replies
109 Views
Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao...
5 Reactions
44 Replies
339 Views
Kufuata utaratibu ni ngumu. Mfano stendi ni magufuli watu wanapaki shekilango! Na mambo mengine mengi.
0 Reactions
4 Replies
84 Views
Na Mwandishi Wetu KATIKA kuunga jitihada za wajasiriaamali wasusi,kampuni inayoongoza katika bidhaa za nywele nchini, Darling Hair imepanga kuhakikisha inawainua na kuwanufaisha wasusi katika...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
1. Shughuli za Matibabu na Upasuaji Upasuaji mkubwa: Huhitaji chumba maalum cha upasuaji chenye mazingira yasiyokusanya wadudu (sterile). Vipimo vikubwa vya picha: Huwezi kuweka mashine za MRI...
3 Reactions
6 Replies
213 Views
Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi, inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Jijini Lusaka kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa...
0 Reactions
4 Replies
104 Views
Habari ndugu wanajamii Sisi walimu wa ajira mpya wilaya ya Kwimba-Mwanza tarehe 31/08/2026 tumelipwa kwenye account zetu shillingi laki tatu na elfu sitini tu (Tsh.360,000/=) kama hela yetu ya...
0 Reactions
10 Replies
227 Views
Hizo ziko Africa pekee aise. kwingine kote lazima ule kwa jasho na kutumia akili. Sikatai kwamba kuna dirty money. Mshana Jr
6 Reactions
20 Replies
214 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kuwa ujenzi wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza umefikia asilimia 69.2%, hatua inayoonesha kasi kubwa ya utekelezaji wa mradi huo muhimu wa usafiri nchini
1 Reactions
7 Replies
208 Views
Hivi nivyo jokofu langu lilivyo.
8 Reactions
13 Replies
258 Views
Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uwekezaji wa takribani USD bilioni 20 unaiweka Tanga katika nafasi muhimu ya kuwa kitovu cha nishati, ukifungua fursa za ajira, kukuza...
0 Reactions
2 Replies
72 Views
Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi...
2 Reactions
13 Replies
231 Views
Kijana wa miaka 18 aliyetajwa kuwa mshukiwa wa shambulio la risasi 13 Feb 2026 lililoua watu wanane na kujeruhi makumi ya wengine huko British Columbia, Canada, Jesse Van Rootselaar alipatikana...
2 Reactions
7 Replies
133 Views
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Back
Top Bottom