Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari...! Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili katika chuo kikubwa Afrika mashariki na Kati. Katika kusoms kwangu toka nikiwa mwaka wa kwanza nilisikia chuo hiki kinafuata utaratibu wa Carryover...
0 Reactions
7 Replies
758 Views
Here comes ’El Nino’ once again... TANZANIA will be hit by the El Nino weather phenomenon towards the end of this year, accompanied by heavy rainfall likely to cause serious damage to...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Cheki makebo yanavyopishana kama tenga za ngogwe.. Sisi malimbukeni tulioishia fofoho kutoka mikoani dasilamu ndio paradiso yetu.
6 Reactions
20 Replies
346 Views
Sasa hivi wakandarasi wa miundombinu wanakimbizana (zimamoto) na Super El nino inayoanza Oktoba ili wapewe certificates walipwe fedha ili Super El nino ikijabomoa miundombinu basi wapewe kandarasi...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Nina wasiwasi sana na mwaka huu wa 2019 - 2020 kwa jinsi hali ya hewa ilivyo. Nikikumbuka mvua za miaka ya 1998 na 2015 na hizi za 2020 zinalingana sana. Tofauti ni miaka ya 1998 na 2015...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Kwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako. Ewee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
12 Reactions
152 Replies
11K Views
Ni vitoto fulani hivi vinajiona vya kishua vishamba shamba tu hata Ngarenaro haviwezi kufika kama hamna mlinzi. Wanafanya nini mda wote vyumbani kwao. Ni kupiga puli,kucheza game kulala× repeat...
0 Reactions
1 Replies
46 Views
Habari za jioni. Tunaomba Kwa maslahi ya ustawi wa elimu wilayani Kilindi Tanga taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wawachunguze chama Cha walimu Kilindi Tanga kwakuwa ndio wanaohusika na...
1 Reactions
3 Replies
81 Views
Ni vitoto fulani hivi vinajiona vya kishua vishamba shamba tu hata Ngarenaro haviwezi kufika kama hamna mlinzi. Wanafanya nini mda wote vyumbani kwao. Ni kupiga puli,kucheza game kulala× repeat...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Walimu 56 wakihama chama cha walimu CWT kilindi Tanga.Hatua hiyo wamefikia kutoa notisi ya mwezi mmoja kwa mwajiri. "Mimi nadai pesa za uhamisho mwaka wa 6 huu mbaya zaidi kila wanaposema...
4 Reactions
14 Replies
205 Views
Ina maana tunakuwa na wasomi wenye shahada 3,200,000 Basi tufanye na diploma 3,200,000 6.4M Idadi ya watu ni milion 70 Au basi takwimu zinaonesha mambo mengii
3 Reactions
16 Replies
292 Views
Kwa mujibu wa makadirio ya sensa ya mwaka 2022, Tanzania ina takribani watanzania milioni 60. Kati ya hao, idadi ya waliopata elimu ya juu (yaani kuanzia Diploma, Degree, Masters hadi PhD/Profesa)...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa...
1 Reactions
8 Replies
196 Views
Waislamu wao katika mbingu yao watakuwa wanapewa chochote wanachotaka, raha zote watapewa. Hadithi zinaenda mbali zaidi kusema wanaume watapewa wanawake mabikira 72 wanaojirudia ubikira wakifanya...
26 Reactions
107 Replies
1K Views
Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho...
1 Reactions
6 Replies
123 Views
Mimi ni Kijana wa Mika 25, nimehitimu Chuo kikuu Mwaka huu 2026, nimesoma Issue za Journalism (Degree) Nimekuwa natafuta Ajira ila nikiuliza Jamaa zangu ambao wapo kwenye ajira kwa muda sasa...
9 Reactions
40 Replies
597 Views
Kuna tabia ya watu kuinua mikono juu wakati wa sala ya baba yetu. Si sawa ile mi kwa ajili ya makuhani tu . Eleweni. Kwa muktadha zaidi nimewawekea link...
4 Reactions
14 Replies
153 Views
Wewe mwanaume uliye kwenye ndoa unaunga mkono ukeketaji kwa watoto wa kike? Kama huungi mkono unauhakika kuwa hao watoto wako wa kike hawajakeketwa? Hivi unajua kuwa baadhi ya wanawake (kwenye...
0 Reactions
3 Replies
199 Views
Mimi nilidhani mtu fudenge yeye ana moyo wa plastiki hasikii maumivu ya kifo kama wengiwe waliofiwa walivyokuwa wakililia vifo vya wapendwa wao na haki kulingana na vifo vya utata vilivyowakumba...
2 Reactions
8 Replies
181 Views
Back
Top Bottom