ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,437
Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?