Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam imeendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia baada ya kuongeza vyumba vya madarasa kutoka 16 hadi 36, hatua iliyopunguza msongamano wa wanafunzi...
Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa.
Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi...
Daladala za Buza - Gerezani na Mnazi Mmoja Buza zinatutesa sana, ikifika mida ya jioni wanapandisha ruti na kuelekea Kilakara na Tandika Sudan kwa kuwa ni karibu kwa ruti ya kwenda na kurudi, pia...
Kero yangu ni kwa NMB Bank, kama hawakuwa tayari kwa mabadiliko ya mifumo kwenye POS za wakala ni vema wangesubiri kwanza hadi mambo yao yakae sawa, haya yanayoendelea siyo mazuri hata kidogo hii...
Ukitumia vipimo hata vile vya kienyeji tu UTANGUNDUA TAYARI hapa nchini kuna chuki iliyojijenga automatic kati ya wananchi dhidi ya palice na viongoz wa serikali
Kama kuna jambo ambalo dunia inapaswa kujifunza ni kutoka kwenye utawala wa Trump. Jamaa anaanzisha timbwili kila kona.
Nataka nigusie timbwili lake na Canada. Jamaa ana mapendekezo ya mikataba...
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Mwanasheria wa Tibeli.
Nimesikia kuna Mkuu wa Mko sehemu fulani amesaundishwa. Ametongozwa, amepigwa Vesi na mistari. Kilichotokea aliyefanya jambo hilo...
Mlinzi wa Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kata ya Kihonda Maghorofani, Manispaa ya Morogoro, anadaiwa kumpiga risasi mwananchi aliyekuwa ameegesha gari katika eneo la kituo hicho.
Kwa mujibu...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa...
Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania Septemba 08, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amehoji utaratibu unaotumika kufungia vyombo vya habari ambapo...
Wakuu, nisaidieni huenda uzee unanisumbua!
Mtu unamuuliza kitu badaya ya kukupa jibu anakuambia, "inategemea". 🤮
Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?
Badala...
KAMA HUTAKI MKEO AFANYE KAZI. ANDIKISHA MALI KWA MAJINA YENU AU YAKE. NJE YA HAPO HUO NI UHUNI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Yule Shahidi.
Moja ya nguzo kuu za maisha kwa Watibeli ni...
Facebook account yake imehackiwa, analog in kama kawaida, ila mesenja kuna huyo mpuuzi anawatumia watu sms vibaya mnooo yaani kila siku sms sizisopungua 20 kuhusiana na masuala ya betting...
Majungu
Fitina
wizi
Uongo
Utapeli
kupata na kukosa
ukiwa na roho ndogo una-give up mapema sana
#Wapambanaji wote msio kaa kwa shemeji zenu mnatoka asubuhi ghetto kwenda harakati big up sana.
Ndugu zangu..
Yule jirani amefanikiwa kuliwa, na alikuwa ana taka sana kumbe...!
Asubuhi ya leo niliamshwa na ngo ngo ngo....mlangoni mwa mchumba changu.
Binafsi nilidhani ni jamaa wa taka...
Hii built up ya level 5 inayotaka kielekea level 6 ,huenda ikaharibu viumbe bahari kwa 80% pamoja na kusababisha coral reef melt away katika bahari ya pacific,kumbuka visiwa vingi hapa duniani...
Takriban roboti 30 wameandamana katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, wakipeperusha bendera na kuimba kaulimbiu nje ya Wizara ya Masuala ya Kidijitali. Maandamano hayo yameandaliwa na kundi la...
Niliandika Uzi hapa hapa JamiiForums nikimsihi Rais Samia asimkaribishe na wala asiwe karibu na Rais Ruto wa Kenya ila sikueleweka na akakaribishwa hadi kupewa Heshima ya kwenda Kulihutubia Bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.