Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha...
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Natarajia kwenda Dar kushiriki mkutano kwenye ukumbi wa JNICC, sasa naomba wadau mniambie maeneo hayo kuna hoteli zipi za bei isiyozidi 30,000 kwa siku. Natanguliza shukrani
6 Reactions
106 Replies
10K Views
Anonymous
Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu? Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata...
1 Reactions
3 Replies
72 Views
Ni-declare interest mimi sio muislamu bali ni mtu ambaye ni curiocity wa mambo mengi yaliyopo duniani 👇👇👇👇👇 Turudi kwenye uzi Watu wamekuwa wakiwaogopa wapemba na moja ya sababu kubwa ni kwamba...
4 Reactions
30 Replies
410 Views
Wakristo nunueni na kusoma vitabu vya Waislamu. Msikae mnatukanwa tu na mnanyamaza. Jibuni hoja. Vitabu vya kislamu vimejawa na takataka nyingi sana ambazo mkiziweka bayana watafunga mdomo. Humo...
10 Reactions
61 Replies
961 Views
Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road. Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika: "Nitakwenda Mahakmani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa, kwa mujibu wa sheria siy jinai kwa Sophia kumtongoza Mkuu wa...
7 Reactions
24 Replies
639 Views
UN Women imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa kujiunga na kuwa mwanachama wa Mtandao wa Kimataifa wa Wajumbe wa Kitaifa wa Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women, Peace and Security Focal...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08...
1 Reactions
11 Replies
237 Views
Hi taarifa mpaka Leo haijatolewa ufafanuzi kuhusu MTANZANIA MWENZETU, alifahamika Kwa jina fredy, ALIE ULIWA na boss wake COMORRO, inasemekana alizikwa huko huko lakini mpaka Leo ubalozi wa tz...
1 Reactions
6 Replies
135 Views
AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande...
1 Reactions
1 Replies
67 Views
Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa. ■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one ■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000 ■Ni wakati...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Habari za muda huu. Nchi yetu imefikia hatua mbaya sana katika haki za watumishi.Jambo hilo limethibitika baada ya Halmashauri-Kilindi kuhonga baadhi ya viongozi wa CWT Kilindi Ili wasiwatetee...
0 Reactions
7 Replies
112 Views
Na hata ikitokea tukajitutumua Kuongea hicho Kiingereza chenyewe neno lililo jirani na Ulimi wetu na tunalolijua ni la Yeah....Yeah.....Yeah.....na baada ya hapo ni Kuchekacheka na kuongea Kiswahili.
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa...
2 Reactions
17 Replies
449 Views
Anonymous
Septemba 6, 2026 Mwanaume anayefahamika kwa jina la Klaud Mambosho mkazi wa Kijiji cha Sango, Kata ya Kimochi katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro alimpiga mke wake na kumvunja...
0 Reactions
3 Replies
96 Views
Kylian Mbappé amekabidhiwa tuzo ya mfungaji bora wa UEFA Champions League 2025/26 baada ya kufunga mabao 15. Kwa Mbappé, hii ni Golden Boot ya 16 katika career yake. 🥇WORLD CUP 🥇 Champions...
2 Reactions
4 Replies
133 Views
Kuna Hospitali moja tu ya kumbukumbu ya GENTAMYCINE upande mkubwa wa nchi na hakuna Hospitali ya kumbukumbu ya GENTAMYCINE ule upande wa Kisiwani ambao unaunganisha nchi moja nzuri na Kubwa...
7 Reactions
31 Replies
762 Views
Back
Top Bottom