Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://youtu.be/mWDFRMPng00?si=xeyEvsHcsPs2G4hE
3 Reactions
71 Replies
581 Views
Kwa mwanamke kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa mwanaume tajiri/ kigogo/ mwenye uwezo wa kuhudumia mtoto wake mahitaji yote kuanzia bima ya afya ya maana hadi shule za level ya Feza au...
0 Reactions
14 Replies
159 Views
Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi...
1 Reactions
5 Replies
182 Views
Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu...
5 Reactions
19 Replies
308 Views
Vickie Ambwene Joab Kakuyu Makani amehitimu masomo yake katika chuo cha Tumaini kampas ya Dar Es Salaam akiwa na miaka 74. Huyu ni mke wa hayati Bob Makani na pia mama yake Grace Makani Tarimo...
22 Reactions
117 Replies
16K Views
Anonymous
Ningependa kufikisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa wanayokutana nayo watumiaji wa vituo vya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Kimara, hususan wanapovuka Barabara ya Morogoro kwenda au...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Habari Wana jamii.. Binafsi kulingana na hali inayoendelea Sasa Kuna maswali nimekaa nakutafakari sana.. Ikiwa katiba ya nchi yetu inamtaka raia anaetaka kugombea ngazi ya Raisi.. awe na mwenza...
1 Reactions
0 Replies
45 Views
Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
0 Reactions
3 Replies
141 Views
Hata waandamane,ukiwa unatembea na NEEMA ya Mungu,hakuna atakayeweza kuizuia. Neema haitazami vyeti,cheo wala nguvu za mwanadamu.Kitu ambacho Mungu amekikusudia kiwe chako,hakuna mtu atakayeweza...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Usalama wa mtandao wa JamiiForums (JF) kwa wakosoaji wa serikali na wanaharakati una pande mbili: nia na ulinzi wa kidijitali unaotolewa na jukwaa lenyewe, pamoja na mbinu binafsi anazotumia...
20 Reactions
56 Replies
750 Views
Hellow wana JF. Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino. Naomba kuwatoa hofu...
10 Reactions
125 Replies
2K Views
Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya...
29 Reactions
133 Replies
1K Views
Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti. Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha...
6 Reactions
34 Replies
607 Views
Anonymous
Hii ni moja ya namna tunavyoibiwa mabuchani. Haiwezekani 0.5 kg ya nyama kubebwa na hivi visahani vinavyotumika kupimia nyama. Hali hii inatia shaka kuhusu usahihi wa vipimo vinavyotumika na...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Wakuu, Tangu Serikali kupitia Wakala wa DART ianze kutekeleza mpango wa kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kutoka kwa mwendeshaji mmoja (UDART) kwenda kwenye mfumo wa...
1 Reactions
1 Replies
142 Views
Nikiwa mmoja wa wakazi wa Shinyanga,baada yakupata habari hii,nilishituka sana! Nawaza ni vijana wangapi watakosa ajira pale stand?? Je hii familia inaenda kuishi vipi?? Yajayo yanafurahisha
2 Reactions
193 Replies
45K Views
WanaJF, tuweke kwanza hisia za kisiasa pembeni, tuangalie hili suala kwa jicho la uchumi, utawala, matumizi ya Serikali, ulinzi, rasilimali na mustakabali wa Taifa. Kimsingi kuna mifumo miwili...
2 Reactions
6 Replies
194 Views
Kwa wenye uelewa mpana,kuhusiana na suala hili, Nitashukuru kueleweshwa suala hili kwa kina, Kwa nini serekali yetu inaliogopa sana suala hili.
0 Reactions
2 Replies
58 Views
Ipuuzeni taarifa hii ya uzushi iliyotengenezwa na wahalifu. Tunawasisitiza Watanzania kuendelea kufuatilia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi ikiwemo tovuti ya Idara ya...
2 Reactions
11 Replies
231 Views
Back
Top Bottom