Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,214
- 3,587
Sasa hivi wakandarasi wa miundombinu wanakimbizana (zimamoto) na Super El nino inayoanza Oktoba ili wapewe certificates walipwe fedha ili Super El nino ikijabomoa miundombinu basi wapewe kandarasi upya watengeneze ela upya.
Mvua za El nino zinakusudiwa kuwa kubwa Oktoba na Disemba 2023 ambapo zinatarajiwa kunyesha kwa kiwango cha kati ya 300mm hadi 650mm kwa siku hii ikivunja rekodi ya miaka 60 kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Jamhuri ya Kenya.
Tayari zimewahi kushuka baadhi ya sehemu za Kenya ambayo imeathiriwa na ukame miaka 3 mfululizo na kuvunja rekodi ya miaka 40.
Baada ya kuhifadhi mazingira, hivi sasa Mwanza ndiyo inapata mvua nyingi JMT kiasi cha 19mm kwa siku. Miaka ya nyuma ilikuwa ni Mbozi ndiyo iliongoza Afrika kwa mvua nyingi.
Igunga ndiyo sehemu inayopokea mvua kidogo JMT kiasi cha 585mm kwa mwaka sawa na 23.03" ambayo ni 1.6mm kwa siku na inapata mvua kwa siku 142.1 katika mzunguko wa majira ya mwaka.
Hii Super El nino ni ya kuombea sana isilete madhara.