Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imebaini uwepo wa taarifa za uongo zinazotengenezwa kwa sura ya taarifa rasmi na kusambazwa mitandaoni zikidaiwa kutoka Ikulu au kuhusishwa na Mheshimiwa...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda. Kinachotia mashaka ni kwamba kila...
3 Reactions
17 Replies
265 Views
Mheshimiwa Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Huku kwetu NGERNGER MOROGORO BADO TUNA TESEKA SANA NA TATIZO LA UMEME BILA TAARIFA WALA MAELEZO YOYOTE. BADO TUNAISHI GIZANI KAMA ZAMA ZA MAWE. MAREKEBISHO NI JIBU FUPI TANESCO NDILO WANALO JIBU...
5 Reactions
39 Replies
505 Views
Naami majasusi hutumia akili 85% ili kulinda taifa na hutumia nguvu15% kulina taifa hivyo najua wanajua 100% watanzania wapo na hitaji gani,mioyo yao imefika wapi,na wamegawanyika kwa kiwango gani...
2 Reactions
7 Replies
123 Views
Samahani wakuu, naomba msaada kufahamu cheo cha anayeitwa Mwaipopo katika nchi hii. Naona anapewa mileage sana na media. Nawasilisha.
1 Reactions
11 Replies
190 Views
Zamani zadi ya miaka 2,000 iliyopita, Socrates, mwanafalsafa maarufu wa Kigiriki, alipinga maandishi akidhani yataharibu uwezo wa binadamu wa kukumbuka mambo kichwani. Hofu kama hii imejirudia...
3 Reactions
12 Replies
238 Views
  • Redirect
Hakiki taarifa zote na Idara ya Habari-MAELEZO, tembelea eneo la THIBITISHA/FACT CHECK katika tovuti yetu 🔗 https://www.maelezo.go.tz/thibitisha/
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita..... Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe)...
9 Reactions
21 Replies
432 Views
Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima...
0 Reactions
5 Replies
165 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afrika CDC) Dkt. Jean Kaseya akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
"Usifanye kosa la kuruhusu shida ziungane dhidi yako, hakikisha shida haziwi na umoja, zifitinishe, zigonganishe na zichanganye kiasi kwamba badala ya kuhangaika na wewe zihangaishane zenyewe kwa...
7 Reactions
23 Replies
382 Views
Anonymous
Maajabu ya dampo la taka la Soko maarufu Tanzania, Ni soko la vitunguu Singida mjini. Dampo lipo katikati ya soko halafu liaachwa na uchafu mpaka miezi hata minne bila kuzolewa ili taka ziwe...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Anonymous
Huyu Mkandarasi na Wahandisi wanaosimamia barabara zinazojengwa Mansipaa ya Singida wamefikiria nini kuweka vidaraja kwa kutumia kalavati ndogo kiasi hiki? Wastani wa kipenyo labda inch 12 - 15...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Kwa wafanya biashara na watafutaji changamoto hizi zinawakumba sana hususani kama nchini kwetu. Unajichanganya unataka kufanya biashara sehemu unakuta nyumba ya chinu zina fremu hapo hapo unaweka...
4 Reactions
12 Replies
171 Views
Warumi 2 3 Wewe binadamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! Wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu? "Fanya nisemacho lakini usifanye nifanyalo Au...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameungana na familia, ndugu na jamaa katika kumuaga aliyekuwa mtumishi wa taasisi hiyo, Bi. Roziana Philipo Mnzava, aliyefariki...
1 Reactions
4 Replies
132 Views
Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police? Watu wenye akili wanamtizama na kuona...
4 Reactions
14 Replies
234 Views
Manispaa ya moshi yazinduka suala la usafi lakini bado sana hasa hapo mbuyuni wachuuzi wametoa bidhaa zao ndani na kuhamishia nje Barabara kutoka Cape Town kushuka mashine kwa gogo imeziba,kusho...
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
Kero yangu ni kuhusu upatikanaji wa maji mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Rombo – Mashati. Kuanzia Kisima Kidogo Kala, ni zaidi ya miezi miwili sasa maji hayatoki. Kila tukiwapigia simu, tunawaambiwa...
1 Reactions
0 Replies
49 Views
Back
Top Bottom