Utaratibu wa kushughulikia, kuhifadhi, na kuzika miili ya marehemu ni mada inayochochea mijadala mipana inayovuka mipaka ya kidini na kuingia katika nyanja za kijiografia, kihistoria, na...
Discover the unforgettable beauty of Tanzania on a 5-day African holiday safari with Widerange African Safaris. Explore some of Northern Tanzania’s most iconic wildlife destinations, including...
Dah Mwalimu Shabani hivi wewe na binti yangu mna ugomvi gani usio fika kikomo?
Kuna vitu vingi binti yangu huwa analalamika mfano huwa unamlazimisha kununua ubuyu na visheti vyako.
Binti yangu...
Jana nilipaki gari, nikavuka barabara kwenda kuchukua dawa pharmacy. Niliporudi, nilikutana na watu waliojitambulisha kuwa wanahusika na kukamata magari yaliyopaki vibaya.
Wakaingia ndani ya gari...
Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu...
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake.
Kwa mujibu wa...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mara linamshikilia Dickson Juma umri miaka 32,mzanaki na mkazi wa Kiabakari wilayani Butiama kwa tuhuma za kuingia bila kibali na kufanya fujo katika kituo cha afya cha...
Serikali imekipongeza Chama cha Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), kwa mchango wake katika tasnia ya uhasibu nchini lakini pia kwa kuimarika na kuwa taasisi muhimu katika kuchochea maendeleo ya...
Kifo cha mtoto Juma Saimon Malanga mwenye umri wa miaka 10, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Swaswa jijini Dodoma, kimeacha majonzi makubwa kwa familia, ndugu na jamaa baada ya kufariki katika tukio...
Habari, nina malalamiko kuhusu ndugu zetu wa NSSF Mkoa wa Mtwara, hasa Wilaya ya Masasi.
Kuna baadhi ya watumishi waliokuwa wakifanya kazi katika Kituo cha Afya Rehema, Newala, ambao walikuwa...
Jamii ndogo ya faru mweupe wa kaskazini (Northern White Rhino) iko ukingoni mwa kutoweka kabisa duniani, huku ikiwa imesalia na faru wawili tu, ambao wote ni majike.
Faru hao, Najin na Fatu...
Ninatambua upendo wananchi walio nao kwa jeshi lao la polisi ila ninapinga wao kujichukulia sheria mkononi kwa kumpiga mtu aliyekuwa akimpiga askari wa usalama barabarani. Kujichukulia sheria...
Mahakama ya Wilaya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji imemuhukumu kifungo cha miaka 30 Maulid Mohammed Mwingi (27) mkazi wa Mkuranga ambaye alimbaka Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka...
UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa...
Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba...
Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri...
Wakili Peter Madeleka amesema anafunga safari kuelekea Tabora kwa ajili ya kusimamia kesi ya mwanamke aitwaye Sophia ambaye anatuhumiwa kumtongoza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha...