Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kijiji MLANJE kata MPUNGUZI Mkoa DODOMA Kuna kundi kubwa la tembo takribani 30 au zaidi wanatembea usiku kwa zaidi ya wiki moja sasa ndani ya eneo hili na kusababisha uharibifu wa mazao pamoja...
0 Reactions
8 Replies
141 Views
Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :) Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5. 🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93 🏭 Bidhaa za...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Wakuu, naomba mnivumilie kidogo. Kwa sasa nimefika kipindi ambacho mambo yamenibana sana, na nimeona bora nije hapa kuomba mawazo na msaada wa aina yoyote unaowezekana. Sina haja ya kuomba mtu...
0 Reactions
4 Replies
74 Views
Anonymous
Maeneo yetu ya Kimara Korogwe karibu na Kanisa la KKKT Kimara kuna ujenzi unaendelea eneo la kanisa na kuna udongo mwingi unachimbwa, unakusanywa na kumwaga kwenye makazi ya watu kiasi cha kuziba...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
1 Reactions
17 Replies
172 Views
Hebu fikiria kitu kimoja. Kama binadamu asingekufa, maisha yangekuwa na thamani ileile? Nadhani jibu ni hapana. Tunathamini muda kwa sababu una mwisho. Tunathamini ujana kwa sababu tunajua...
1 Reactions
4 Replies
134 Views
Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester...
6 Reactions
12 Replies
203 Views
Sometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart mijini kilele zimekuwa nyingi sana. mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.
16 Reactions
101 Replies
919 Views
Steve Nyerere ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao, amewageukia wasanii kutoenda Zanzibar kumfariji Rais Samia ilhali ndiyo kundi kubwa ambalo hushiriki kwenye kampeni na...
2 Reactions
2 Replies
90 Views
Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction. Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu...
3 Reactions
16 Replies
120 Views
Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, wakati...
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Anonymous
Wilaya zinazopakana na Mlima Kilimanjaro zinajulikana kwa kuwa na vyanzo vya maji, lakini hali ni tofauti kabisa katika maeneo ya ukanda wa chini wa Tarakea, Wilaya ya Rombo. Tatizo la ukosefu wa...
2 Reactions
12 Replies
190 Views
Ili Nyumba/apartment iitwe Airbnb Apartment, ni lazima itangazwe kwenye official platforms za Airbnb (website au App), otherwise ni Nyumba ya kupanga tu. Sahivi ukiingia Insta, Facebook, TikTok...
8 Reactions
15 Replies
182 Views
Mkataba ulikua wa miaka 3. Uliishia ile tarehe 31 mwezi wa 8 Leo napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena.. Hii ni mara baada ya kuingiza mshahara wa mwisho. Nilimuuliza kwa iyo kazi ndo imeisha...
13 Reactions
51 Replies
929 Views
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, amemaliza kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Brenda amekamilisha kutoa...
0 Reactions
2 Replies
96 Views
kuna ukweli wowote kuhusu hii?
0 Reactions
3 Replies
56 Views
Back
Top Bottom