Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake. Kwa mujibu wa...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mara linamshikilia Dickson Juma umri miaka 32,mzanaki na mkazi wa Kiabakari wilayani Butiama kwa tuhuma za kuingia bila kibali na kufanya fujo katika kituo cha afya cha...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
Serikali imekipongeza Chama cha Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), kwa mchango wake katika tasnia ya uhasibu nchini lakini pia kwa kuimarika na kuwa taasisi muhimu katika kuchochea maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Kifo cha mtoto Juma Saimon Malanga mwenye umri wa miaka 10, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Swaswa jijini Dodoma, kimeacha majonzi makubwa kwa familia, ndugu na jamaa baada ya kufariki katika tukio...
0 Reactions
3 Replies
98 Views
Anonymous
Habari, nina malalamiko kuhusu ndugu zetu wa NSSF Mkoa wa Mtwara, hasa Wilaya ya Masasi. Kuna baadhi ya watumishi waliokuwa wakifanya kazi katika Kituo cha Afya Rehema, Newala, ambao walikuwa...
1 Reactions
7 Replies
239 Views
Karibuni Nina biashara ,ila nataka kuongeza bidhaa, benki ipi ina sera za kuwapatia wateja mikopo kwa kutumia hata kiwanja?
3 Reactions
10 Replies
120 Views
Jamii ndogo ya faru mweupe wa kaskazini (Northern White Rhino) iko ukingoni mwa kutoweka kabisa duniani, huku ikiwa imesalia na faru wawili tu, ambao wote ni majike. Faru hao, Najin na Fatu...
5 Reactions
18 Replies
247 Views
Ninatambua upendo wananchi walio nao kwa jeshi lao la polisi ila ninapinga wao kujichukulia sheria mkononi kwa kumpiga mtu aliyekuwa akimpiga askari wa usalama barabarani. Kujichukulia sheria...
3 Reactions
20 Replies
447 Views
Mahakama ya Wilaya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji imemuhukumu kifungo cha miaka 30 Maulid Mohammed Mwingi (27) mkazi wa Mkuranga ambaye alimbaka Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka...
1 Reactions
20 Replies
255 Views
UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Wakili Peter Madeleka amesema anafunga safari kuelekea Tabora kwa ajili ya kusimamia kesi ya mwanamke aitwaye Sophia ambaye anatuhumiwa kumtongoza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha...
4 Reactions
6 Replies
190 Views
📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
🚧Ujenzi wa Barabara za Miji Minne ya Geita, Nyantorotoro, Nyankumbu na Katoro zinaendelea kujengwa. 🚧Ujenzi wa Bababara ya Katoro - Ushirombo (58.2km) kwa kiwango cha lami unaendelea. Miradi...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Kijiji MLANJE kata MPUNGUZI Mkoa DODOMA Kuna kundi kubwa la tembo takribani 30 au zaidi wanatembea usiku kwa zaidi ya wiki moja sasa ndani ya eneo hili na kusababisha uharibifu wa mazao pamoja...
0 Reactions
8 Replies
141 Views
Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :) Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5. 🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93 🏭 Bidhaa za...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Back
Top Bottom