Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na jumla ya mita 14 walizoziiba usiku wa...
1 Reactions
1 Replies
51 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) na Buni Innovation Hub...
1 Reactions
2 Replies
59 Views
Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Salam wakuu. Hongereni kwa kuendelea kuidumisha JF, Nimekua nje ya jf kwa muda kidogo, ila hv karibuni nitarejea rasmi. Lengo la uzi, ni kua ikiwa kuna mwana JF yupo morogoro maeneo ya mikese...
1 Reactions
4 Replies
47 Views
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama...
5 Reactions
140 Replies
10K Views
Niliwahi leta taarifa hapa kuhusu kifo cha anko wangu mzenji, alikua member wa jamii forum. Maswali ambayo Hadi Leo NAJIULIZA na sipati jibu ni haya. Umri wa anko ULIKUA mkubwa sana, lakini...
2 Reactions
7 Replies
179 Views
Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua...
2 Reactions
5 Replies
72 Views
Ninaomba kuelekezwa namna ya kujiunga kwenye mnyororo wa mazao connect unaotangazwa sana na FAUSTER MNDUNDE. Kwa anayejua namba ya Fauster Mndunde nitashukuru akiniwekea hapa. Asanteni sana.
2 Reactions
6 Replies
77 Views
Ukitoa wakuu wa majeshi , kuna uwezekano mkubwa abuduli licha ya kutokuwa na uongozi wowote serikalini akawa na sauti na mamlaka na akasikilizwa anachokitaka hata kwa kulazimisha kuliko makamo...
3 Reactions
16 Replies
196 Views
Habari wakuu. Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake , Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi...
28 Reactions
99 Replies
1K Views
Natafuta bampa liwe jipya au used la gari aina ya chaser avante au gx 100 mwenye nalo tuwasiliane Natanguliza shukrani...
2 Reactions
7 Replies
54 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Binadamu au kiongozi yeyote yule hapaswi kutukanwa (Hata kama ni wa CHAMA "BA" AU chama "A au B" Binadamu anapaswa kukosolewa "in a constructive manner" na sio...
2 Reactions
8 Replies
56 Views
Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au...
0 Reactions
4 Replies
33 Views
Kuna baadhi ya watangazaji ambao hawakuwa wanatangaza tu habari au mpira; walikuwa wanaifanya redio iwe picha inayotembea kichwani mwa msikilizaji. Miongoni mwao ni Sekione Kitojo, jina ambalo kwa...
12 Reactions
37 Replies
436 Views
Hili tamasha la bongo fleva 30 dodoma linarushwa kwenye website gani?
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake. Leo...
14 Reactions
26 Replies
458 Views
Tanzania bado tuna amini makocha wa kizungu ndo wenye material kichwani ya kuwafundisha watu wetu katika michezo mbali mbali hasa mpira wa miguu.Mpaka Leo wazawa hawaaminiki kwenye ufundishaji wao...
2 Reactions
6 Replies
41 Views
A giant looks in the mirror and sees nothing ~Donda West In my time off, JF nilijikuta naingia katika kujitathmini kwa kina ili nijue where why y'all hating on me the goat 🐐? Ila nikaona it's...
16 Reactions
271 Replies
2K Views
Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi...
2 Reactions
12 Replies
70 Views
“Kingdom True Anointing Standards: A RENAISSANCE” Ni makala ndefu, kwa sababu hata watu wamedanganywa kwa kirefu! Uongo mkubwa unahitaji maelezo Makubwa! Mwenye moyo na nguvu na asome! AMANI NA...
1 Reactions
9 Replies
296 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…