de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,044
- 25,655
Ukweli usemwe tu,
Millenial wameishia kuwa wahanga wa program za kibepari kutoka kwa mababi zetu. Bado wanaimani potofu, bado hawana uhuru wa kifikra..
Ila sisi, Gen Z tumeibuka na kuanza ku question system, tunaquestion mifumo ya kikatiba, siasa na dini. Ni kwasababu tumeshuhudia millenial wakiwa wahanga, kukosa ajira, kukandamizwa haki zao, na kuishi delusional.
Changes zijazo lazima zitaletwa na Gen Z na sisemei Tanzanian pekee bali dunia kwa ujumla..
Things are moving from industrialization to decentralization.
Na hii inatokea kwa sababu ya kukua awareness na advancement science and technology...
Hata hii nchi inakwenda kukombolewa na hawa hawa ma gen Z ambao wanasema kila siku, wanachoka kuishi kwa mazoea, wanauliza maswali magumu na kuhoji nidhamu hewa ya Uoga.
Ukiangalia hata siku hizi mtu aliye ajiriwa ana maisha magumu kuliko aliye amua kujiajiri.. Hii ni kwa sababu informal sector zimekuwa bora na zinashindana zenyewe kwa zenyewe.
Lazima ukubali ku adapt maana zama kweli zimebadilika.