JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 799
- 1,892
Harakati za mrithi wa 2015 zilianza 2011 baada tu ya JK kuingia madarakani. Harakati za mrithi wa 2030 zimeanza.
Coincidence
Michezo ya kupeana sumu.
Tumesikia hizi tetesi, hazijaanza leo, 2011 zilikuepo pia.
Mpasuko wa chama
Kama ilivyo sasa, 2011 vivyo hivyo
Wengi walidhani Lowassa anakwenda ikulu, Mwisho wa siku akaenda CHADEMA. Pale kwenye odds hii haikuwepo 😂😂
Mkuu Pascal Mayalla, Mkandara
Mnakumbuka hii https://www.jamiiforums.com/threads...otherwise-waweza-kuwa-historia-part-1.207455/
Itakua tena ya magufuli ?
Safari hii kwa shambulizi la nje na ndani, CHADEMA inaenda ikulu ?
na wasanii tuombee Rais ajaye asipende tu uvuvi ikulu wataalikwa wapemba hatutamuona hata Lukuvi!…..
Ukistaajabu ya Lema utayaona ya Mrema
ona pepo la usaliti linaitafuna Chadema
kwetu Rais ni taasisi inayochaguliwa na mfumo
sisi wawakilishi na kwenye maamuzi hatumo!…
Na vita ya mahakama ya kadhi ni uhasama wa wazi, yaani unaisaka bikira ndani ya wodi ya wazazi?….
Nakutabiri nani afuate? Karibu Tanga kunani...