Habari yako? Vipi ulifanikiwa kupata shule maalumu au alienda shule ya kawaida? Unaweza kutusaidia majina ya shule zinazotoa huduma hiyo?Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa