Habari za wakati ndugu zangu, Poleni sana na mahagaiko katika upambanaji wenu , wakuu
Niende kwenye mada yangu natafuta mtaalam wa Saikolojia ushauri nasaha wanapatikana wapi? Maana napitia magumu sana wakati huu mbele sioni naona Giza tu sielewi
Kazi Sina, elimu nimeishia la saba, mausiano nayo yanarega rega usiku nikilala jasho mwili mzima natetemeka nawaza mengi, Mimi bado kijana naona sielewi,
Naogopa kwenda kupima maradhi nisije nikawa nayo maana naogopa, sana 😢
Mkuu @Ushimeni kazi uliniambia Sina nauli mpaka leo nimekosa, nimeweka simu imeshindikana naomba bado kama nafasi ipo uniachie bado nijichage, kazi Sina nakuwa n mawazo sana kweli