Gari ya serikali tinted ya nini?

Gari ya serikali tinted ya nini?

Hii suala kifike mahali likome, gari ya umma inaweka tinted ya nini?

Ningekuwa IGP ningepiga marufuku uwekwaji wa tinted kioo cha mbele na mtu akitaka kuweka alipie shs 3,000,000 kwa mwaka. Mbona hela nzuri tu hiyo; mapato ya bure kabisa...
Hii ingeimarisha usalama kwa wananchi....Fikiria unakuta jitu limepaki karibu na kakituo kako ka mpesa kama lisaa na lipo fully tinted/ au getini kwako halafu ni saa tatu usiku. Unashindwa ufungue gate au ufanyaje?
 
Ningekuwa IGP ningefuta uwekwaji wa tinted kioo cha mbele na mtu akitaka kuweka alipie shs 2000,000 kwa mwaka. Mbona hela nzuri tu hiyo; mapato ya bure kabisa...
Hata wakipata hayo mapato wanafanyia nini kama sio kuziiba tena kila kukicha TRA wanatangaza kuvunja rekodi wakati huo huo CAG nae anavunja rekodi ya taarifa ya wezi..
 
Sasa na wewe mwananchi unataka kuona nini ndani ya hilo gari kama sio umbea tu? Iwe na tinted ama plain wewe inakusaidia nini katika maisha yako ya kila siku?. Ifike mahali tuwe tunahoji vitu vya maana na sio kuwa busy na vitu vya hovyo
 
Kuna wimbi kubwa nchini especially mijini ,kuwepo na magari mapya yenye namba T......../ ALS
Mkukutana na hayo magari mitaani hata mkiyachoma moto ni sawa! Nimewapa Code.
 
Hawataki tuone wakiwa wamepakia magendo mfano Kuna mwaka land cruiser hardtop ya serikali ilikamatwa na magunia ya mirungi Kama isingekua tinted hata Hilo wazo lisingemjia
 
Back
Top Bottom