Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
5 Reactions
7 Replies
489 Views
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Closed
Habari Wanajf! Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden. Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa...
34 Reactions
70 Replies
5K Views
Wadau nawasabahi Nimekuwa nasikia Waendesha Pikipiki za biashara wanaitwa BODABODA binafsi sijui kwanini wanaitwa jina hiyo .Ombi kwenu nini Asili ya jina hilo mpaka Wakaitwa hivyo?
3 Reactions
30 Replies
2K Views
moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa. mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mimi binafsi nikitazama Televisheni huwa napenda kubadilisha badilisha ili nipate hata kipindi chochote nitakachojifunza kitu kipya kitakachonipa faida. Mara nyingi mambo ni yaleyale huku kule ni...
1 Reactions
3 Replies
419 Views
Sloths ni wanyama wapanda miti wanaoishi katika misitu ya ukanda wa kitropic ya kati hasa America ya kusini. Wanyama hawa ni waenda polepole sana kiasi cha kwenda kwa wastani wa mita 0.91 kwa...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini na kuanza kufanya majaribio katika barabara zilizokwisha kamilika huku mengine yakitarajiwa kuwasili mapema mwaka kesho...
3 Reactions
116 Replies
16K Views
Awamu ya tano inavyomtesa Rais wa zamani Na Ahmed Rajab KUNA vimurimuri vingi na viini macho visivyosemeka katika siasa za nchi nyingi za Kiafrika. Tunayaona katika nchi hizo aghalabu huwa si...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha. But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo. Site ipo Kiabakari - Musoma, ni...
2 Reactions
4 Replies
472 Views
Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana...
58 Reactions
147 Replies
17K Views
Habari wakuu, Samahani naomba kuuliza swali. Kwanini ADC (Aide De Camp) wa Rais anapopanda cheo kutoka Kanali kua brigedia ni lazima aondolewe kwenye majukumu hayo ya upambe wa Rais na kupangiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Kufuatia hali ya vitendo vya uhalifu miongoni mwa vijana, ni muhimu serikali ichukue hatua madhubuti ili kupunguza na kuzuia uhalifu huo. Tafiti zimeonyesha kuwa uhalifu wa vijana umekuwa ukipanda...
2 Reactions
12 Replies
734 Views
Hapo zamani kisiwa cha Mafia ndiyo kilikuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati, pia kisiwa cha Mafia kilikuwa na sarafu yake. Naomba kuuliza hivi, kwanini historia ya kweli inafichwa na...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha. Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa...
10 Reactions
63 Replies
4K Views
Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye mada, kuna jamii kubwa kwa sasa, wake kwa waume wamekuwa wakibeba mabegi migongoni, siyo shida wala hakuna neno, ni vizuri pia. Ila, baadhi yao, wanapoingia...
20 Reactions
114 Replies
14K Views
Back
Top Bottom