Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hofu inaweza kukufanya ukaona Jambo ni kubwa kama watu wanavyolizungumzia Kumbe hata hawalijui vizuri. Mimi tangu nakua nimekutana na watu wanaojua kumtia mtu hofu ikiwamo hata wazazi wenyewe...
6 Reactions
9 Replies
580 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya Kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DStv, uamuzi ambao haujaacha kicheko kwa...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Hello! Dhambi ya uzinzi ni dhambi kama zilivyo dhambi zingine, ila utofauti wake na dhambi zingine ni kwamba dhambi hii inatendeka ndani ya mwili. Unapofanya uzinzi unafungulia milango yote ya...
4 Reactions
1 Replies
658 Views
Ndani ya dimbwi la umasikini wa kutupwa, Katikati ya shida, magonjwa, sononesho la kutisha. Baada ya kukatishwa tamaa na watu uliowahamini, baada ya jamii kukuambia huwezi, huwezi kutoboa, huna...
3 Reactions
8 Replies
635 Views
Anonymous
Eneo la Vijibweni kumeongezeka migogoro ya ardhi kwa kuwa mwenyekiti wa Serikali anauza maeneo ya hifadhi ya barabara akishirikiana na kikundi cha wajanja. Na kumekuwa na malalamiko mengi juu ya...
0 Reactions
2 Replies
420 Views
Anonymous
Katika nchi yetu kuna baadhi ya maeneo kupata huduma mbalimbali za msingi kama maji, umeme n k imekuwa kawaida sana, lakini hii hali imekuwa tofauti sana katika halmashauri ya Mbulu mji hasa...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Naomba kujua Mawakala Binafsi wa huduma za Ajira Tanzania tafadhali, toa mifano michache
2 Reactions
1 Replies
276 Views
Mji wa mbeya hauna miundombinu ya barabara hata kidogo! Ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Hello morning!! Mimi ni miongoni mwa watu wenye tabia za upole na aibu. Upole na aibu havina faida yoyote kwenye maisha ya mtu. Nilikosa kazi mbili ambazo zilikuwa zinanisibiri Mimi. Ila kwa tabia...
3 Reactions
6 Replies
590 Views
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya. Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo. Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza. Mimi binafsi kuna...
6 Reactions
8 Replies
858 Views
Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo...
1 Reactions
3 Replies
402 Views
Wakili Paul Kaunda amesema ameamua kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa Mwaka 2024, sababu anataka kuwalinda na kuwatetea Mawakili wachanga ili aongeze thamani na...
1 Reactions
4 Replies
485 Views
Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi. Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Siku zote najuaga wayao ni wenyeji wa wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ila leo kupitia member wa Jf nimegundua kuwa kumbe wayao ni wenyeji wa Mtwara. Asante sana Jf. Leo nimejifunza kitu.
4 Reactions
37 Replies
2K Views
"Mawakili wenzangu habarini za asubuhi, kama tulivyoahidi mwanzo wa kampeni kuwa tumejipanga vizuri kuhakikisha tunashinda uchaguzi wa Urais wa TLS ili kuijenga TLS moja, imara na huru kwa...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
5 Reactions
7 Replies
489 Views
Back
Top Bottom