Kisiwa cha Mafia, kwanini hatuambiwi historia ya ukweli?

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,223
Reaction score
2,976
Hapo zamani kisiwa cha Mafia ndiyo kilikuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati, pia kisiwa cha Mafia kilikuwa na sarafu yake.

Naomba kuuliza hivi, kwanini historia ya kweli inafichwa na historia ya kutunga ndio tunaambiwa?

1675678464708.jpg
 
Issue za ubaguzi wa kidini ni tatzizo,mnaona kama kisiwa ni cha muslims tu,
Juzi imesikika ya mfanyabiashara toka bara alieleta ndizi mbivu akafanyiwa vitu vya hovyo kabisa
Bado tena Mandonga mkabania kutumia uwanja wa Zanzibar eti Ni kwaajili ya mabondia wa zanzibar tu huu muungano sijui miaka 5 mbele utakuaje mambo mengi tu mbongo akiingia kwao anakua Kama mgeni kutoka ulaya vile kumbe nyumbani ake like seriously?
 
Mkuje wabongo hapa mfunguke maana kayakanyagavongeeni ukweli tu maana hata serikali haioni hili tatizo Kama kubwa mbeleni kuna wanazalish huko wanakuja na updated mind ya 6G sijui mi kitu itakuja tokeachuko miaka five forward
 
Issue za ubaguzi wa kidini ni tatzizo,mnaona kama kisiwa ni cha muslims tu,
Juzi imesikika ya mfanyabiashara toka bara alieleta ndizi mbivu akafanyiwa vitu vya hovyo kabisa
Wapi hio
 
Hapo zamani kisiwa cha Mafia ndiyo kilikuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati, pia kisiwa cha Mafia kilikuwa na sarafu yake.

Naomba kuuliza hivi, kwanini historia ya kweli inafichwa na historia ya kutunga ndio tunaambiwa?

View attachment 2508374
Hii biashara ya Kilwa na Mafia ni biashara ya Watumwa na hii pesa ni pesa walizoleta wafanye biashara ya Utumwa.
Wanashida ni Currency au Pesa na Biashara mbona Wajerumani na Wainhereza nao walikuwa nayo ?

Tuache hii tabia ya kusifia ilhali Tunadharau ua '- Afrika wetu
Sasa sielewi kwanini unataka tu wa Enzi hawa wakoloni ?
 
We unashidwa funguka
 
Uhuru ulionao unakusaidia nini
 
Muache uchawi na Udini ,mikoa ya tanga ,kigoma, pwani, lindi,mtwara na pemba uchawi na Udini ndio umewalostisha

USSR
Poa Chief fanya fasta uwahi Church ibada inakupita huku
 
Attachments

  • twitter_20230206_170505.mp4
    1.8 MB
Issue za ubaguzi wa kidini ni tatzizo,mnaona kama kisiwa ni cha muslims tu,
Juzi imesikika ya mfanyabiashara toka bara alieleta ndizi mbivu akafanyiwa vitu vya hovyo kabisa

Yaani huku mnunue ardhi ila sisi kwenu haturusiwi huu si ubaguzi
Msichokijuwa kisiwa cha Mafia kipo Tanganyika mkoa wa Pwani wilaya ya Mafia.
 
Hii biashara ya Kilwa na Mafia ni biashara ya Watumwa na hii pesa ni pesa walizoleta wafanye biashara ya Utumwa.
Wanashida ni Currency au Pesa na Biashara mbona Wajerumani na Wainhereza nao walikuwa nayo ?

Tuache hii tabia ya kusifia ilhali Tunadharau ua '- Afrika wetu
Sasa sielewi kwanini unataka tu wa Enzi hawa wakoloni ?
Utumwa kwani umeisha
 
Hapo zamani kisiwa cha Mafia ndiyo kilikuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati, pia kisiwa cha Mafia kilikuwa na sarafu yake.

Naomba kuuliza hivi, kwanini historia ya kweli inafichwa na historia ya kutunga ndio tunaambiwa?

View attachment 2508374
Historia ya kweli inayofichwa na ipi na Historia ya uongo inayosimuliwa ni ipi?
 
Back
Top Bottom