Asanteeee serikali
KAULI NZITO YA ASKOFU BAADA YA SERIKALI KUFUNGA 'KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI!
Ndugu Watanzania!
Leo ni Siku ya Dominika. Lakini ninapojiandaa na mimi kwenda 'kukomunika' pamoja...
Ndio hivyo buana!
Nilipopata fursa ya kufika Mataifa ya wenzetu ambako huko kuna mchanganyiko wa watu kutoka katika Mataifa yote uyajuayo hapa Duniani, niligundua kuna mambo ambayo yanaweza kuwa...
Ebu fikiria unaishi maisha ambayo hakuna anayekujaji kwa matendo yako,wala huofii watu watasemaje kuhusu mambo yako,bilashaka ungekuwa ulimwengu mmoja amazing sana.
Lakini bahati mbaya sana...
Recorded video🎥👇🏼
https://www.youtube.com/live/Ykazv1aguT4?si=slkP5hyLZuX3MQsS
MASUALA MUHIMU YALIYO ZUNGUMZWA
Jambo kubwa zaidi lililozungumzwa na wagombea wote ni suala la mamlaka na wajibu wa...
https://www.youtube.com/watch?v=_u-grci0Q9Q
Akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila amesema ucheleshwaji wa maboresho ya Barabara unaoendelea hauna...
Miaka ya hivi karibuni kulizuka tetesi kwenye mitandao ya kijamii zq kubadilisha wosia au ndugu wa karibu kushindwa kuamini wosia kama mtu aliandika kwa akili zake ama kwa kulazimishwa.
Kitu hiki...
Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi
Mwana...
Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba...
"Naomba Taifa langu liondoe mitaala la Kiswahili katika shule zetu za Serikali kuanzia chekechea mpaka lile darasa mtihani kwa sababu watoto wetu wanaosoma shule za kata za Serikali wanafaulu...
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya katika mtaa ninaoishi na hata maeneo mengine wanandoa wengi wanaishi bila kujua taratibu za kisheria.
Mfano unakuta Mwanaume huyu awali alikuwa na mke wake...
...ukiangalia namna vyuo vya afya vinavyoongezeka kama njugu si muda mrefu mitaa itajaa wahudumu wa afya bila mahali pa kuwapeleka.
Kwa sasa karibu kila mtoto anatamani kusoma afya akiamini...
IKUNGI-SINGIDA
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameipongeza Kampuni ya AL FRADAWS investment Company Limited kutoka Jordan ambayo ni wawekezaji katika uzalishaji wa Mbegu mbalimbali Mkoani Singida...
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME
KUZIMWA KWA BUS BAR YA MSONGO WA KILOVOLTI 220 KATIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UBUNGO
27 JULAI, 2024
Shirika la Umeme Tanzania, linawatangazia wateja...
Government Electronic Payment Gateway (GePG)
Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi?
Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa...
SAKATA la kutaka soko la Madini ya Tanzanite kufanyika sehemu zote nchini sasa limeingia katika sura mpya baada ya wachimbaji wa madini hayo kusema kuwa wanaongoza agenda hiyo hawana nia njema na...
Sijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.
Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye...
Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics
In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew...
Mnaokabihiwa Ofisi kutoka kwa wale Waliotumbuliwa na Marais Afrika hakikisheni kabla ya Siku ya Tukio ama Msali sana au Ombeni Mizimu yenu Iwalindeni.
Na muogope sana yule Uliyechukua nafasi yake...
Tunapata ujumbe au simu kutoka kwa watu wanaotumia baadhi ya mitandao ya simu, ujumbe maarufu ni wa "ile pesa tuma kwenye namba hii", tukiacha ujumbe kuna wanaotupigia simu wakijidai ni...
Tunapaswa Kumshukuru Mungu kwa Wema anaotundea wakati wote.
Nasema hivi kwa sababu kuna wakati unaweza kukutana na Jambo gumu sana.Lakini Mungu akafungua njia.
Mungu ni wa yale yaliyoshindikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.