Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) chenye uwezo wa megawati 34 ambacho sasa...
0 Reactions
3 Replies
436 Views
Kipindi cha Kamanda Tossi Lucas alikuwa bado yuko shule ya vidudu Yule Mwamba aliwadhibiti Wapinzani kisawasawa na Amani ikadumu sijajua yuko wapi zama hizi! Kamanda Tossi 😃
2 Reactions
2 Replies
508 Views
Kama taifa tumetoka mbali aiseee na bado tuna safari ndefu sana Yaani kutoka Mchele Kitumbo kutoka Japan ambao Wananchi walidai ni wa plastic hauna Lishe hadi mchele wa Wamarekani wenye Lishe...
4 Reactions
13 Replies
982 Views
Wadau zaidi ya 1000 kutokea mataifa takribani 40 hususani ya Afrika wanatarajiwa kukutanishwa Zanzibar na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), April 2025 katika mkutano wa tatu ambao utalenga...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
Ninapozungumzia uwezo ni ule wa kufanya kazi kwa ubunifu na kipekee ukilinganisha na watu wengine. Iwe ofisini, au Nyumbani kuna watu hawaamini kuwa mtu fulani anaweza kufanya kitu fulani na hata...
2 Reactions
1 Replies
215 Views
Niende kwenye Hoja, 1) Nina laini ya simu niliyosajilia Sim Banking, kwanini nikiweka hela kwenda Benki nakatwa, nikirudisha kwenye laini ileile toka Bank, nakatwa Tena! Kwanini mfumo...
6 Reactions
11 Replies
681 Views
Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ametoa saa 48 kwa watu wote walioshiriki kumuuzia kiwanja mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Francis (Mandojo) kujisalimisha kwake. Pia amelitaka Jeshi la...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi. Mojawapo na hili la mikopo ya...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Salaam wakuu; Kwa siku za karibuni naona kipindi cha KASRI cha salim kikeke ndio imekuwa Drive show nzuri zaidi, ukizingatia maudhui yake na watu anao wahoji. Jamaa naona ana bonge moja la idea...
4 Reactions
7 Replies
898 Views
Wanajamvi mm si mwenyeji sana humu japo huwa nasoma sana humu jamvini na kujifunza kutokana na mijadala mbalimbali inayotolewa humu ndani, Leo nimejitokeza kwenu kutaka msaada wa kimawazo Kuna...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Muammar Gaddafi hakuuwawa eti sababu ya utajiri wake. Kilichomuua Gaddafi ni dini. Ukweli ni kwamba nyuma ya misaada mingi aliokuwa anaitowa Gaddafi kulikuwa na agenda ya siri ya kueneza dini ya...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua...
5 Reactions
8 Replies
695 Views
Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp. Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner. Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mmomonyoko wa maadili tunaoushuhudia hivi sasa katika jamii na taifa kwa ujumla ni matokeo ya kukiuka asili yetu kama "WANA WA TANZANIA NA WAAFRIKA". Mfano, kwa wale wazaliwa wa miaka ya nyuma...
1 Reactions
0 Replies
492 Views
Salaam, Shalom!! Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada. Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwaka jana rafiki yangu akiwa amepakiza familia yake kwenye gari binafsi alipata ajali ba kufariki hapohapo. Kwa ufupi ni kwamba kuna lori lilifeli break likawa linakuja kasi upande wake yeye...
32 Reactions
122 Replies
6K Views
Hii pesa sasaivi mtu yupo tayari akupe hata milioni ili umpatie hii pesa. Ina kitu gani cha ziada wenye kuelewa nasi watujuze.
4 Reactions
40 Replies
15K Views
Kuna mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu na Katu hatuwezi kuyabadilisha hata kidogo, huenda yanatukosesha Raha au kutufanya tusijiamini mbele za watu. Fuatana nami ule Asali! Kuna msemo unasema...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi sumu ya panya inaweza muua kenge, nimepaka sumu vipande vitatu vya nyama halafu ni kamuwekea pale anapo pitaga nje ya shimo lake na inavoonekana kala sasa sijui kama atakufa au la vipi sumu...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom