1980s uliletwa mchele Kitumbo kutoka Japan, bila Maharage ulikuwa hauliki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Kama taifa tumetoka mbali aiseee na bado tuna safari ndefu sana

Yaani kutoka Mchele Kitumbo kutoka Japan ambao Wananchi walidai ni wa plastic hauna Lishe hadi mchele wa Wamarekani wenye Lishe

Ila wabongo ukiwaona wanakikataa Kitu ujue Ndio wanakikubali 😀😀

Ramadan Kareem
 
Yaani kutoka Mchele Kitumbo kutoka Japan ambao Wananchi walidai ni wa plastic hauna Lishe
Hivi hujui kuwa mchele kitumbo ulizalisha mamilioni ya wapiga kura wa CCM?

Kila aipaye ccm kura ya ndiyo alionja huo mchele, japo wengine wamelala Ila bado wapo wengi walio hai.
 
Back
Top Bottom