Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila tukio likitokea ambalo liko ndivyo sivyo, TLS inajitokeza kulaani. Latest ilikuwa ya Chadema huko Mbeya. Wakati Mwambukusi akiomba kura alionekana akituaminisha kama TLS ni bonge ya chombo...
4 Reactions
14 Replies
886 Views
Ndugu Watanzania, ikimbukwe kuwa mwezi July serikali ilitangaza kununua Mahindi kwa wakulima kupitia wakala wa hifadhi ya chakula "NFRA" ila kitu kinachoshangaza na kustaajabisha ni kuwa malipo...
1 Reactions
0 Replies
624 Views
I) Leo kwangu kesho kwake ii) Aliyempa yeye ndo aliyeninyima mimi iii) Kama ipo ipo tu Ongezea na wewe
8 Reactions
77 Replies
3K Views
Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo...
1 Reactions
7 Replies
662 Views
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika mitandao ya kijamii kuna hili la The Aga Khan Hospital linatajwa ila watu wanasahau mapema sana. Tukumbushane kidogo tarehe Machi 13, 2023 kutokea Dodoma, tulipata ujumbe huu kupitia...
2 Reactions
1 Replies
642 Views
Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Ukija na drama zako kulalaleki sisi tuna tunakutizama kisha tuna gonga ile kitu yetu. Tunakupotezea Halafu hao machalii wanaotoka huko dasa laama ndio wanakuja kutuharibia mkoa wetu, maana wana...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar Wana jamvi, Wiki iliyopita nilipata wasaa wakutembelea kwetu Kijijini nikiwa kule Kijijini nilipata nafasi yakuzungumza na watu wa makundi mbalimbali, Wazee, Vijana ndugu na marafiki...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi. Ujenzi wa Daraja la...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Wiki hii zinaingia tu kila siku Angalie wenyewe
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Channel Ten- Saa 2.30 Usiku (Saa Mbili na Nusu Usiku) Leo hii Jumatano Tar 14/08/2024 Karibuni sana kutizama Makala maalum ya Maji ni Uhai- ambayo inaangaza kazi ambazo zinaendelea kufanyika...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuja na mkakati wa kudhibiti wizi wa Mita za Maji baada ya kueleza kuwa kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Sijafanya utafiti rasmi, sina takwimu sahihi lakini , Tangu mwaka huu uanze Kuna ajali nyingi sana ila ndodo ndogo, kiasi Cha kuleta hofu kwa upande wangu. Kwa experience yangu barabarani ya...
0 Reactions
4 Replies
406 Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Queen Sendiga amewakaribisha rasmi wanafunzi 110 wanaoanza kidato cha tano katika Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Manyara iliyopo mjini Babati. Katika...
6 Reactions
6 Replies
782 Views
Wakuu Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa...
1 Reactions
11 Replies
798 Views
Hadi sasa mwaka huu 2024, watoa roho wakubwa walioongoza ni hawa: 1: Matatizo ya moyo 2: Stroke 3: Matatizo ya mapafu 4: Nimonia 5: Alzheimer na Dementia (kuathirika kwa akili na kazi zake...
3 Reactions
12 Replies
582 Views
Hivi ishu ya baa kupiga muziki wa hali ya juu mpaka kunakucha huwa inasuluhishwa na mamlaka gani katika eneo husika kwa uharaka na bila kujulikana?
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuna tatizo sana la jeshi la polisi kwa upande wa ukamataji kama kutakuwa na kesi ukimbilia simu au kompyuta kwa sababu wanazojua wao. Mapolisi wengi wana hii tabia na mwisho wa siku simu yako...
2 Reactions
9 Replies
582 Views
Back
Top Bottom